JK alisema ana matatizo na HESABU but he Graduated with Degree in Economics, how...!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK alisema ana matatizo na HESABU but he Graduated with Degree in Economics, how...!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jay One, Jan 1, 2011.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,075
  Likes Received: 4,653
  Trophy Points: 280
  Kheri ya Mwaka Mpya..... na Habari za Mwaka jana JK, najua ulikuwa mwaka mgumu sana
  ila Mwaka huu unaweza kuwa mgumu 3 times, lets wait kwa ugumu wa maisha wa
  wananchi.
  Ulipo ongea siku ileeeeeeee one day before Election, ulisema una matatizo ya hesabu
  ok sikujali hilo saaana, but u r a Graduate of Economics back 1975, ndio nilishangaa
  Hesabu na Economics ni jembe na mpini, napata shida hapa.
  Anyway, hotuba yako ya jana kuhusu Katiba Mpya na sio marekebisho umekubali najua
  kwa shinikizo, that is ok
  Ila Dowans hukusema hata kitu vp? au ndio lile tatizo la hesabu? JK it is 185bil if you
  don't know ni hivi Tshs. 185,000,000,000/= maana yake milioni 1000 X 185 hiyo ndio figure
  inauma sana, make a decision, Leaders do that.
   
 2. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kweli inaumaaaa we acha tu Mr Presidar
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kikwete hana "priorities" kama Rais halafu it seems maneno mengi anayoyaongea ni "shinikizo" la kikundi fulani!
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wanajua jinsi ya kuumiza watanzania fidia ya shilingi bilioni 185. Eura waliagizwa pesa hizi zianze kukusanywa kuanzia leo kwa asilimia 18.5

  Walichofanya ni kuweka nukta katikati ya namba 185 na kupata asilimia 18.5 kama ongezeko la bei ya umeme kuanzia leo.
   
 5. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35

  Mi nilishasema mkwere kuna watu wamemshikia remoti maana sijawahi kuona siku anaamka anatangaza kitu kipya ambacho kakibuni mwenyewe.
   
 6. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mr. Jakaya mrisho kikwete Please resign from the high office, you are not committed to lead this country! why silence towards huge loss like this,we cannot have such uncommitted president like you who fear nothing while people are suffering because of unethical practice from your office.Why showing such irresponsibility to your people, why accepting such liability without any explanation to your people Idiot president need to be sucked from the office.

  Please parliamentarian and members of the house impose this president to leave the office.we cannot accept to be defeated dowans a black listed company existing without directors.I'm calling for Tanzanians please push your MPs to join hands to suck this president from the office
   
 7. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  mkwere doesnt know how to masturbate his mind, anachofanya ni copy and paste decision, kwakweli hatufai and his very dormant na akili yake na upeo wake wa kufikiria ni mdogo sana. Na pia anapenda sana starehe kuliko kazi. Na hiyo degree yake ya uchumi niya kupewa kwakua alikua kada mzuri wa tanu.
   
 8. F

  FredKavishe Verified User

  #8
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ana GPA YA 2.1 NDADHAN NA CYO ZAIDI YA HAPO
   
Loading...