Kulikoni Tanzania Daima? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni Tanzania Daima?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speaker, Jan 1, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimekuwa nikienda kwenye meza za magazeti hapa UDSM kila mara naambiwa tz daima limeisha,yaani kila siku nalikosa!

  Mie nilidhani ni kwamba linapendwa sana,ila leo nimeenda sehemu fulani pia sikupata,nikaamua kuuliza kulikoni nikaambiwa "sijui pia,me nikienda kuchukua napewa copy 10 tu",.....kwa nini wanachapa magazeti machache kiasi hicho?

  Au ndo kufilisika?
   
 2. m

  maarufu Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda liliandika habari za mafisadi na wakayanunua karibu yote
   
 3. m

  maarufu Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na hata iringa huku yamekwisha mapema sana
   
 4. m

  maarufu Member

  #4
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda wanafanya makusudi wamiliki ili wajue watu wanalipenda kiasi gani?
   
 5. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ukiona hivyo ujue linapendwa sana hivyo halikai muda mrefu.
   
 6. m

  maarufu Member

  #6
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna jamaa yupo dom nilimpigia simu kumuuliza hot nyuz za tz daima leo akasema dom yaliisha mapema hii ina maana ni karibu tz nzima. shame tz daima
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Watapata faida gani kwa watu kuju linapendwa wakati wanatoa copy chache?
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nimewastukia wanatoa copy chache sanaaaaaaa,any way wajua biashara zao lakini mm nilikuwa napenda sana habari zao ila ndo wamesha anza uchakachuzi sijui tuanze kuweka oda ya kupata gazeti kila siku
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  NIlikuwa naamini hivo pia,ila ni uongo mtupu wanatoa copy chache sanaaaa
   
 10. C

  Calist Senior Member

  #10
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kulikosa leo nikajaribu kulitafuta kwenye mtandao, nikakutana na toleo la tarehe 30 December, jamaa wamefulia kote kote,
   
 11. T

  The Informer Senior Member

  #11
  Jan 1, 2011
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, Absalom Kibanda, ndiye anayeliuwa hili gazeti. Hana muda tena wa kufuatilia circulation na distribution ya gazeti. Yuko busy anafanya kazi part-time kwenye magazine ya Edward Lowassa inaitwa UMOJA. Pia Kibanda amekuwa anatoa habari za kumbeba Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge kwenye Tanzania Daima. Kwa kupokea malipo kutoka kwa Lowassa na Rostam, Kibanda pia amekuwa akiandika habari za kuwakashifu Samuel Sitta, Harisson Mwakyembe, Bernard Membe na John Magufuli.

  Tatizo hapa ni kuwa mmiliki wa Tanzania Daima, Freeman Mbowe, pia yuko karibu na fisadi Edward Lowassa ndiyo maana anaruhusu ushenzi huu ufanyike. Tanzania Daima litakufa baada ya muda kwa mwenendo huu. Limekuwa ni gazeti linalotumiwa na mafisadi.
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ????????
  sidhani kama unacho sema ni kweli
   
 13. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  mbbona mnalikashifu gazeti ka chama??
   
 14. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Unaujakika unachosema?
   
 15. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #15
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hii mbona inatumiksi, huyu anayesema kuhusu kibanda ni shushushu anataka kuharibu au? mie sielewi. Tanzania daima waseme ukweli hapa hapa, maana hata hapa Bukoba ni issue, na kama ukweli ndo huo, basi tutabakiza Mwananchi. Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhh
   
 16. z

  zamlock JF-Expert Member

  #16
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  jamani hata mimi nimeamka nimekwenda napokwenda kulinunua nikakuta alipi jamani nikajisikia vibaya sana
   
 17. B

  BARKMEI Member

  #17
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MIMI naona ni matatizo ya kawaida kwani hata magazeti
  mengine huwa na matatizo hayo hayo. Kwa mfano gazeti la
  Majira si katika distribution tu hata kwenye mtandao linasumbua,
  Tz Daima ni gazeti ambalo huwa nalisoma 00:00 AM mapema kuliko
  magazeti mengine yote likifuatiwa na MWANANCHI. Mbona Mwanahalisi
  na Darleo huwa kimeo kupatikana kwenye meza na kwenye mtandao. Muhimu
  ni kutoa hoja zinazoshauri nini kifanyike matatizo hayo yatokomee kwenye gazeti hilo.
   
Loading...