Misharaha, cheki, misahama ya kodi...hivi hizi ni public info? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misharaha, cheki, misahama ya kodi...hivi hizi ni public info?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chifunanga, Dec 21, 2010.

 1. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Jamani mi katika pitapita yangu nimekutana na hii list ya documents ambayo ina majina ya watu na malipo waliyopata, namba za cheki walizoandikiwa, watu aliosamehewa kodi...etc.etc, hivi ni public information au?

  LINK HII HAPA: Index of /mofdocs/revenue/exemptionsbeneficiaries
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Haya mkuu chifu thanx kwa habari nzuri
   
 3. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Ni katika suala la uwazi. Waliopewa misamaha ya kodi huwa wanaanikwa kwenye mtandao.
  Kama umewahi kusamehewa hata kodi ya kuingiza gari, basi we search jina lako utaliona. Mimi naona hii poa tu.
   
Loading...