Wako wapi hawa wanamageuzi waliosaliti mageuzi na kurudi ccm? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wako wapi hawa wanamageuzi waliosaliti mageuzi na kurudi ccm?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzambia, Jan 1, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  1. Dr masumbuka lamwai
  2. Dr walid kabourou
  3. Prince bagenda
  4. Tomas ngawaiya
  5. ...
  .... Na wengine mtanisaidia jamani wako wapi mbona kimya kny siasa za bongo?
   
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  wapowapo tu.
  Wanakunywa Banana wine day in day out
   
 3. K

  KIBE JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapo hao mfano lamwai yuko tumaini university ndo mkuu wa kitivo cha sheria paleee
   
 4. P

  Popompo JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ngawaiya alitangaza nia jimbo la moshi akatolewa ktk kura za maoni!yupoyupo tuu hana ishu
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Lwakatare yumo yumo tu, anawania kwa mbali nafasi ya zitto lakini maji marefu..
   
 6. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Where is GT when he is needed.
   
 7. m

  mzambia JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Who is gt? Uwiano?
   
 8. B

  Bull JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Wanaharakati Hawa wameshindwa kutokana na ukiritimba,udini na ukabila ulio jaa chadema ndio maana waliamua waihamena hasa pale Mbowe alipokabidhiwa madaraka na Mkwewe bila kutumia democrasia
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  atawaniaje nafasi isiyo wasi? Majungu yako peleka masj.d sio humu
   
 10. m

  mzambia JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani lengo langu ni kuwajua wanamipango gani kisiasa hasa huyu prince bagenda
   
 11. m

  mzambia JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Na mwinjilisti kamara kusupa naona amekuwa mwandishi wa gazeti la ccm tazama tanzania naye ameachana na siasa
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mpiganaji anasubiri iwe wazi ..nimerekebisha mkuu
   
 13. b

  bakene Member

  #13
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Na Salum msabaha wa CUF
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mipango gani kisiasa ili iweje ndo washaloweka na jiki hvo.................sisiem imewachanachana imewatupa kuule ka waimbavyo.
   
 15. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ngawaiya ni mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa kilimanjaro
   
 16. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Hivi Bob Makani ni mkwe wa Mbowe!?, maana katika kumbukumbu zangu Mbowe alipokea madaraka kwa kuchaguliwa baada ya Mzee Makani, naomba kurekebishwa if I am wrong.
   
 17. m

  masoudmwevi Member

  #17
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Prince Bagenda yupo shinyanga kama mwenyekiti au katibu wa ccm, Kabourou alikuwa mbunge wa east africa
   
 18. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi kumbe walisha wahikuwa wanachama wa chadema Bull hebu nikumbushe vizuri .......au umechanganyikiwa .......maana bila kutaja CDM siku haija isha
   
 19. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ukimwondo kaburu wengine?
   
 20. m

  maarufu Member

  #20
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  prince bagenda yuko shinyanga?
   
Loading...