TANZANIA Tanzanian Royalty Exploration
The mining company Tanzanian Royalty Exploration, run by James E. Sinclair, is a past master in the art of having good influential Tanzanian personalities...
:flame:Nilikuwa hapo karibia na ofisi ndogo ya CCM Lumumba majira ya saa 7 mchana nikaona kundi kubwa la wanafunzi wa msingi na sekondari wanaandamana wakiwa wamebeba mabongo yakitaka nauli za...
BBC News - Libya: France recognises rebels as government
France recognises Libyan rebels
France has become the first country to recognise the Libyan rebel leadership, the National Libyan...
JK aides on the spot over speech blunder Wednesday, 09 March 2011 23:02
By Bernard Lugongo
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Political analysts and activists have criticised President Jakaya...
Nimezisikia hizi habari kuwa r.a anaogopa kulala bongo hivyo huwa anafika tu bongo asubuhi na kuondoka zake jioni kurudi anakoishi ambako chanzo cha habari kimenambia kuwa huwa anaenda kenya au...
Ndugu wana JF
kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza huu umoja wa Africa uko wapi na unafanya nini,maana ni muda sasa tangu Gadafi auwe waandamanaji kwa silaha kali AU kimya,leo bara letu linavamiwa...
WANANCHI wa Kijiji cha Mkomang'ombe Wilaya ya Ludewa, mkoani Iringa, juzi waliuzuia msafara wa wajumbe wa Kamati ya Bunge na Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (POAC) kuondoka kijijini hapo...
Kuna kule kuamini kuwa ukiwa ccm mambo yatakunyookea tofauti na vyama vya upinzani na ndiyo sababu katika uchaguzi kura za maoni ccm huwa wanawagombea wengi kuzidi vyama vingine,si kwasababu...
Mh.Pinda huku ni kutudhihaki Watanzania.Eti unashangaa watu kujenga nyumba za nyasi Ngara! Umetembea nchi nzima na kuona? Hujaona nyumba za tembe zilivyo zagaa Shinyanga,Tabora,Singida na Dodoma...
The government plans to present a bill in parliament, for a law to protect people who provide information on any corruption incidents.
This was revealed here by Dr Edward Hosea, Director General...
Forget about Chadema, Mr President! Rebuild CCM! Monday, 07 March 2011 13:49 Mr Makwaia wa Kuhunga
Deducing from the Presidents monthly address to the nation last week, the message is...
WHY AFRICA IS 25 YEARS BEHIND THE DEVELOPED WORLD? AFRICAN LEADERS
Abdoulaye Wade ( Senegal )- age 83
Hosni Mubarak ( Egypt ) - age 82
Robert Mugabe ( Zimbabwe ) - age 86...
Dr. WSlaa na Mh. F. Mbowe, nimefuatilia kwa karibu mbinu mnazo tumia ili kukipa umaarufu CDM, likiwapo hili mnalofanya kwa wakati huu. Tatizo ninaloona na wale waliosoma theory of games, wanaona...
Mara kwa mara tumekuwa tukisikia kauli kutoka kwa baadhi ya watu na asasi mbali mbali hapa nchini zinazo ashiria kwamba ni wao tu wenye hati miliki ya jina la 'Nyerere." Itakumbukwa wakati wa...
Unrest in the Middle East has led a spike in crude oil prices as anxiety over the rising cost of food spans the globe.
Worldwide, food prices are soaring past record highs -- the U.N.'s Food...
Waziri wa Ujenzi Dr. Magufuli katia X nyumba zote zilizoko kwenye hifadhi ya barabara na kaagiza Tanroads wavunje bila kuangalia makunyanzi kupisha ujenzi wa barabara.
Waziri mkuu akiwa kwenye...
Kama mtu ambaye hajui umaskini wa watu wake zaidi ya 75% unatokana na nini ameweza kuongoza tena kwa vipindi viwili basi nchi hii inaweza kuongozwa na mtu yeyote hata Sophia Simba na mambo...
Rostam Rostam Rostam Aziz ni jina au wimbo ambao umezoeleka masikioni mwa Watanzania wengi.Matatizo yetu,ufisadi utalisikia jina RA.Huyu mtu ni nani?Nimejaribu kufuatilia mtirliliko wa matukio...