Tusichowaambia Watanzania: Food crisis | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusichowaambia Watanzania: Food crisis

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ernesto Sheka, Mar 10, 2011.

 1. Ernesto Sheka

  Ernesto Sheka Senior Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unrest in the Middle East has led a spike in crude oil prices as anxiety over the rising cost of food spans the globe.

  Worldwide, food prices are soaring past record highs -- the U.N.'s Food and Agriculture Organization (FAO) has recorded consecutive gains for eight months.

  But the epicenter of the crisis is in Asia, where U.N. data show the highest cost of food ever ever recorded; an annual 10 percent inflation rate increase has led to warnings from FAO officials that "chronic hunger" could be a reality for some of Asia's poorest residents. If the trend continues, another 64 million people could fall under the poverty line.

  Bad weather, smaller crops and crude oil prices are creating a perfect storm for farmers, distributors and consumers across the globe. In North Korea and Afghanistan, residents face the risk of food shortages and rising prices. (Conditions are so dire in North Korea that the U.S. is examining resuming food aid to the country.) In the U.S., it's the simple issue of supply not meeting demand: wheat prices have risen 74 percent and corn has surged 87 percent.

  Prices are expected to stay high, but FAO reports that solution to food shortages could come by providing equal farming access to women in developing countries.

  "If women in rural areas had the same access to land, technology, financial services, education and markets as men, agricultural production could be increased and the number of hungry people reduced by 100-150 million," the FAO said in the 2010-11 edition of The State of Food and Agriculture report.

  Another way to promote sustainability? Rethinking what we know about farming. FAO points to small-scale, eco-friendly farming, which could include employing simple tools to rid growers of common ills. Solutions in developing countries could range from insect-trapping plants in Kenya to weed-eating ducks in Bangladesh's rice paddies.

  BlogPost - Global food crisis: Turmoil in Middle East will keep prices high
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Hapana umekosea, hizo zinapanda kwa sabau ya "Rostam"!

  Samahani. Hivyo ndivyo Mwanakijiji anavyo hubiri.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  We nawe una matatizo; alichosema Waziri wako Cyril Chami na miye nimekirudia. Well kama tatizo ni bei ya chakula duniani serikali inahangaika nini kutaka wafanyabiashara wa sukari kuachilia sukari wanayoshikilia? Au tatizo la umeme nalo ni sababu ya kupanda kwa bei ya chakula duniani?
   
 4. J

  Jonas justin Member

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tusiende mbali ni kwamba mafisadi wanahujumu uchumi wetu,na yote haya yametokana na wao..
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  suala la upungufu wa chakula tulilizungumza wengine miaka mitatu iliyopita; mara kadhaa tumeshasema Tanzania haina sababu ya kuagiza chakula kutoka nje. Serikali ya CCM na serikali yake wameshindwa kuhakikisha jambo lolote linafanyika kwa ubora wowote ule. Siyo elimu, nishati, maji, chakula n.k vyote ni shaghalabaghala. Tukisema tunaambiwa wachochezi!

  Wengine wamefikia hata mahali pa kuja na mawazo ya kukatia umeme makampuni ya madini kama kuwakomoa ati "hawajawahi kupata adha ya kukatiwa umeme"! Nchi inaendeshwa vipi?
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Matatizo unayo wewe, ungejiuliza tatizo la umeme na kupanda bei za vyakula zina husiana vipi na "Rostam" ?. Hata umuhusishe katika post thread yako?

  Hapa tunaona tatizo la kupanda bei za vyakula si letu tu Tanzania.

  JK aliliona hili zamani kidogo na ndipo alipoanzisha "kilimo kwanza". Kwa mtu kama wewe ni vigumu kuyaelewa haya kwani upo katika dunia ya majungu na fitna zisizo na mantiki, huwezi kufunuka mawazo kwa hivyo ulivyo. Kila baya utalihusisha ya ama na Rostam ya ama Kikwete, kwa lipi zaidi walilokukosea?
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Wamenikosea mimi? la hasa kwa waliyowakosea Watanzania na ambayo wanaendelea kuwakosea Watanzania. Unataka nianze kuorodhesha tena yapi?
   
 8. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa akili za kina Chami wanataka wananchi waamini kwamba tatizo la umeme pia linatokana na kupanda kwa bei ya chakula duniani na pia bei ya petroli kwenye soko la dunia/ uarabuni. Kwa mtazamo wao hakuna matatizo yanayoikabili Tanzania kwa sasa ambayo ni their own making and irresponsibility of the sitting govt!
   
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Wakulima wengi wa tanzania ni just subsistence peasants,bila uwekezaji wa makampuni makubwa ya kilimo hatuwezi kujitosheleza kwa chakula au at least serikali iwapige jeki wakulima wadogo wadogo,au serikali yenyewe ianzishe mashasmba yake yenyewe!...serikali yenyewe haina hela,bajeti ya dola bilioni sita haileti maendeleo yoyote ya maana kwa watu milioni 40.
  Sasa serikali itoe wapi hela wakati bongo informal sector imetawala na huwezi kui-tax informal sector,na kuanzia kolokoloni mpaka rais wote wanataka mshiko kidizaini...it's our culture,we're corrupt,not hard working and not innovative...and dont let nobody lie to you,we are not that blessed with natural resources!
   
 10. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  JK lazimeahusike kwani alipoomba urais alifikiri ni lelemama? Hilo suala la kilimo kwanza ni lakinadharia na ulaji zaidi ndiyomaana kila mtu alikimbilia kwenye ruzuku za pembejeo,(wassira anakua vizuri madudu aliyoyafanya) watu wanatumia mgöngo wa JKT kufanya deal ya kuingiza mtatrekta toka india na kuyauza kwa bei ya juu nenda pale mwenge kaulize kiasi ambacho wakulima wadogo wawawezi kununua ingawa wao ndo wanamchango mkubwa katika secta ya kilimo.
   
 11. Ernesto Sheka

  Ernesto Sheka Senior Member

  #11
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatuna jamii ambayo elimu imeonyesha kuleta ukombozi wa kweli!
  Jamii yetu imekuwa inalumbana kwa yale yasiyo na tija na kama yana tija huwa inalumbana wakati tayari mambo yameharibika.our activism waits at the last part of a problem.this is a dead strategy.

  Unajua leo hii kuwa mjumbe toka venezuela yuko tanzania kusign mkataba wa ufuaji umeme kutumia uranium,na unahisi mkataba si sawa.unakaa kimya unasubiri!!!?unasubiri nini?!
   
 12. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Sitashangaa kama hapa hatutakuwa tumeshapata hoja nzuri tu katika kuelezea chanzo kingine cha matatizo yetu kama ya kupanda kwa gharama ya maisha - trust Kikwete, trust CCM !
   
 13. Ernesto Sheka

  Ernesto Sheka Senior Member

  #13
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matatizo ni mengi na ya ndani yapo pia.Unrest in the Arab nations,bei ya mafuta na chakula ni sehemu tu ya orodha ndefu.
   
 14. Ernesto Sheka

  Ernesto Sheka Senior Member

  #14
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Not everything,let's stop making comments blindly.
   
 15. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu nakubaliana nawe kuwa tusiwalaumu Mafisadi kwa kila kitu ila unapokuwa na 40% ya GDP inaliwa na mafisadi nani alaumiwe. Unapoenda mahospitali vitanda hamna huku akina fulani wanatembea na ferrari za dola $500,000 nani alaumiwe?

  Food crisis is a global pandemic na hii inatokana na factors nyingi mfano kuongezeka kwa idadi ya duniani na shortage ya supply, war conflicts in some of the areas, climate change iliyosababisha mafuriko in some areas na ukame some parts of the world, ubaguzi wa kibiashara unaofanya na nchi za magharibi kuzuia mfano bidhaa kutoka africa na kwengineko kwenda kuuzwa kwa kigezo hazijafikiwa viwango etc.

  Lakini hilo halizuia Tanzania kujiandaa na tatizo lolote litakalotokea ndio sababu lazima kuwapo na hazina ya chakula ikitokea balaa la njaa. Lamsingi je hilo ghala lipo na kina nani wanasimamia? Kama na wanasimamia sio tatizo na swala la uhaba wa chakula ni crisis dunia nzima na inasumbua watu wengi.
   
Loading...