Dr. Slaa & Mbowe, Right timing but wrong Strategy!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa & Mbowe, Right timing but wrong Strategy!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyantella, Mar 6, 2011.

 1. n

  nyantella JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Dr. WSlaa na Mh. F. Mbowe, nimefuatilia kwa karibu mbinu mnazo tumia ili kukipa umaarufu CDM, likiwapo hili mnalofanya kwa wakati huu. Tatizo ninaloona na wale waliosoma theory of games, wanaona udhaifu mkubwa au kutokuwapo ma-strategists wazuri CDM. Sababu za kusema hivyo ni kama zifuatazo:
  1. Mnataka wananchi wawaunge mkono kuandamana nchi nzima kama walivyofanya Tunisia, Egypt, Libya na nchi nyinginezo za kiarabu ili kumng'oa JK na serikali yake madarakani, kwa ajili ya kupinga hali ngumu maisha kwa wananchi, ufisadi na sababu nyingine nyingi. Ni kweli serikali ina mapungufu hayo, na wananchi woote wanajua. Tatizo ni kwamba, ni kwanini Wewe Dr. Slaa na Mbowe ndio muwaambie si wanayajua matatizo yao wenyewe??
  2. Kama ni kufuata mfano wa Tunisia, Egypt, Libya, Hivi huko kwao kuna mtu au watu mithili ya Slaa, Mbowe au for that chama kama CDM kilicho waambia watoke mtaani kuandamana??? si wametoka wenyewe hamna wa kuwaambia fanya hiki wala kile wametoka na lao ni moja serikali itoke na wamefanikiwa!!
  3. Katika mila na desturi zetu za kiafrika huwa tunashirikiana katika shughuli mbali mbali za kijamii ikowemo misiba na sherehe mbali mbali, katika msiba mara nyingi kuna waombolezaji wa aina tatu, wanandugu mara nyingi huwa wanalia kwa huzuni na ni rahisi kuwa gundua, kuna marafiki na majirani, lakini kuna watu wengine tu hulia kwa makelele saana hata kupita ndugu wa marehemu, CDM wanalia kama hilo kundi la tatu!! kwa nini? kwa nini tusilie pamoja kama wana ndugu (CUF,TLP,NCCR,UDP n.k) kwa nini CDM msiba wetu sote Watanzania wanalia kwa makelele? lipo tatizo hapo!
  4. Kuna vurugu zilitokea Arusha watu wakapoteza maisha, story zikawa nyiiiiingi ila watu wa Arusha pamoja na uongozi wa CDM hasa Slaa wanajua sababu ya hizo vurugu, Police kwa upande wao wametoa utetezi wa video ya matukio yote kwenye vyombo vya habari, CDM (Slaa) ikaahidi kujibu mapigo na kweli amejibu cd ziko sokoni!!! zinauzwa tena kwa Mujibu wa Mh. Regia Mtema, zinauzwa sh. 6000/=, kwa nini CDM iuze kanda mtaani badala ya kupeleka ubalozi wa EU, Wingereza, Marekani, au kwingineko kokote kuonyesha jinsi TZ isivyo kuwa democratic state ili CDM ipata hiyo sifa inayotaka? na pesa ya hiyo filamu inaenda kwa nani?
  5. Hivi CDM wanafikiri kama serikali ya CCM itapinduliwa kwa maandamano wakati watu watalifananisha hili na yale ya Tunisia, Egypt, Libya!! , this is being naive!!! maana itaonekana ni CDM na Slaa na wamepindua nchi baada ya kushindwa uchaguzi mwaka jana!! hivyo CDM haiata kuwa imeingia madarakani kihalali wala kidemokrasia!! hili mbona liko wazi??.
  So far naona niishie hapo. naomba nieleweke kwamba i am an independet thinker so I hate baadhi wana JF wanaopenda kutukana wenzao ni vyema mtu ukajibu hoja ndio utakisaidia chama chako na sii kukilinda kwa matusi. thanks an I am out.
   
 2. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  mtaani ndio kuna wapiga kura wa TZ na sio ubalozi wa uingereza, eu or us. chadema wanawajibikwa kwanza kwa watz before any outsider. they (wazungu) knows tz is not a democratic state, they follow the events very closely ila wanasubiria tu watu waamke zaidi ndio na wao waanze kuongea lakini sisi tukilala wao ni business as usual
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  anagalia falsafa ya peoples power ya CHADEMA ipo tangu august 13, 2006 chama kilipofanyiwa reforms ..... Falsafa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
   
 4. escober

  escober JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  For me this a timing and strategic move ndiyo maana kumetokea impact kubwa kwa muda mfupi. CDM has just visited kanda ya ziwa and kila mwana CCm including u is fighting this move. This move is unstoppable and i assure soon or later Tanzania is going to be free.
  freedom is coming count on me
   
 5. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Same stories! Huh
   
 6. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nani aliyesema kwamba CHADEMA wanaiga Misri au Libya? Are you Cheyo?
   
 7. U

  Ugweno Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I really doubt if you're independent thinker!Inakuwaje unaamini matatizo ya TZ wanaopaswa kupelekewa ni EU,USA na wazungu wengine?!?Thread yako inaonyesha how much wewe ni mtumwa wa fikra mgando,inawezekanaje watu kwa wingi wao wakaanzisha move bila kiongozi/viongozi?Tafiti kabla ya kurusha hoja otherwise utajikuta unaandika PUMBA na kukaribisha matusi.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Not a wrong strategy!.
  The BASIC QUESTION is...does the Government fulfil the needs of Tanzanians, even down to only 25% of their rights?
   
 9. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Umezoea siasa nyepesi ndio maana unaingiwa na uoga na hofu kubwa sana na umezoea kuona vyama vya msimu , Kupingana, Kujibizana na kukusoana na kuandamani ni haki ya kila chama au mwananchi, Alivyofanya Pinda kule Kagera sawa na CHADEMA hivyo kusema hivyo na wewe unakuwa na theory za kikwetelization ya kimawazo na kuingia humo, Fikiria mara kadhaa na kuona jinsi gani unaweza kujenga demokrasia nzuri hapa kwetu, Tanzania, CHADEMA wapo sahihi
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sitaki kuamini ile CD ndiyo ya chadema sababu mimi niliiona original cd na nikaiweka kwenye youtube, mimi naona ni wanaharakati wametegeneza, kama ni hivyo sijui kama ni sawa kuwa laumu CHADEMA kwa nini wanaziuza badala ya kuzigawa bure ili watu wajue.. kama ni wana harakati wana haki ya kuziuza kupata picha siku hiyo ilikuwa siyo mchezo nikiwa katika ya mkutano wa tarehe 5-1--2011 nilifatwa na mtu akinitaka nisipige picha ni kamuliza kwanini akaniambia nitakamatwa na kuvunjiwa kamera yangu, nilimwambia nimekusikia lakini niliendelea, kuna waandishi wa habari kwenye hotel ya mount meru walivunjiwa kamera zao na kufuta walichokuwa wamerecord, kwenye sehemu husika mfano polisi na hospital ilikuwa huruhusiwi kufika uwe mwandishi au mpita njia hii ni pamoja na siku ya kikao cha meya waandishi walikataliwa kuingia kinyume na sheria ninayowaruhusu hivyo hawa jamaa kukusanya angalau kidogo na kutegengeza hii cd na garama za utegenezaji ni sawa kuuza....
   
 11. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kinacho nishangaza ni hao craps CCM na wote wanaokuja na hoja za egypt libya na tunisi, badala wajibu hoja kwa nini hali ya maisha imetriple sio kuleta oho mara msichezee amani bla bla bla kibao! Amani haiubiriwi jukwaani inajengwa!
   
 12. m

  mubi JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  uko sawa kwa upande wa CCM, siku moja nilikwa vijijini nikamkuta mkulima anaishi mahali ambapo mnara wa TIGO uko karibu na nyumba yake yaani mita 7 hivi. Nilimuuliza unajua madhara ya hii kitu, akajibu hajui. Si watanzania wote wanajua haki zao na si viongozi wote wanaitakia mema Tz. Naimani kabisa wataalaam wa sayansi TIGO wanajua madhara ya minra kuwa karibu na jamii, lakini kwa sababu hawaumii wao na ndugu zao bali wanapata kuwanyonya hao waliomo kwenye athari hizo.Na wakijagungua basi watakuwa wavujifu wa amani. Cdm imegundua ufisadi mwingi basi wamekuwa wavunjifu wa amani kama vile huyo mwanakijiji anayeishi yeye na famila yake kwenye mnara wa TIGO. Inabidi usalim amri iwapo wakuu wanapata maslahi hapo na wewe na generation yako mkiteketea duniani isibaki hata chembe yenu moja.
   
 13. n

  nyantella JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Power without control is as good as zero!!! Wake up!!!
   
 14. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Usipanick ndugu, mimi ni mtu wa mara nimetahiriwa kwa kisu na kichwa changu pia kimetahiriwa vema na situmii ugali wa sembe kwa sababu unapunguza na kumaliza uwezo wa kufikiri nakushauri na wewe ule dona, sawa kisura?
   
 15. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  bei ya mafuta ilipanda mwaka 2009 sana ewura ikapendekeza serikali iagize au tpdc waagize mafuta in bulk kwa wafanyabiashara wote bei ingepungua,hatimae bei ilishuka mpaka sh1360 per litre.sasa imepanda tena mpaka sh 6000 huko kasulu,sumbawanga juzi tena ewura inaimbia serikali ifuate ushauri wa tpdc kuagiza mafuta in bulk!jee kwa nini tangu 2009 mpaka leo govt haijatekeleza maagizo ya taasisi yake yenyewe?habari za ndani zinasema tpdc wamepigwa marufuku kuingilia mambo ya mafuta wao washughulikie gesi tuu!makampuni ya mafuta ni ya mafisadi ya wakubwa wa ccm ndiyo yanatumaliza watanzania.sasa hapo amani isivunjike?
   
 16. n

  nyantella JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Timing yes, maana vugu vugu la mapinduzi ndio limepamba moto, ila ingekua bora kama lingefaa muonekano wa kitaifa badala ya u CDM. hakuna mtu au chama kinachoweza nguvu ya umma wa kitanzania lakini kama tafsiri ya umma ni CDM then kutakua na vurugu tu but no change, same old shit bur different day! hence, wrong strategy!
   
 17. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unamaanisha nini unaposema muonekano wa kitaifa?
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tatizo ripoti za kiinteligengesia hazisaidii vyama, lakini chademe wameonyesha wako juu ya intelinsia. Waacheni wafanye siasa. hatutaki watu wanaokwenda msituni.:rain:
   
 19. S

  Sio Mwanasiasa Senior Member

  #19
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kaka hoja ya huyu bwana ni pana zaidi ya hii observation yako..me nadhan chukua muda kuisoma huku ukiweka upenzi kando ili tuje na jambo la maana kidogo..me still nasoma hii thread kwa umakin ina kitu nadhan
   
 20. n

  nyantella JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Nina maana siku watu wakitoka nje basi iwe ni watanzania woote wametoka na sii CDM na wapenzi wao.
   
Loading...