Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,239
- 1,831
Ndugu wana JF
kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza huu umoja wa Africa uko wapi na unafanya nini,maana ni muda sasa tangu Gadafi auwe waandamanaji kwa silaha kali AU kimya,leo bara letu linavamiwa na America,na uingereza kimya,Gabgo kangangania madaraka AU kimya,,ni umoja wa kazi gani?