:flame:Nilikuwa hapo karibia na ofisi ndogo ya CCM Lumumba majira ya saa 7 mchana nikaona kundi kubwa la wanafunzi wa msingi na sekondari wanaandamana wakiwa wamebeba mabongo yakitaka nauli za daladala zishuke. kitu ninachoona ni kuwa kama mtu unataka upate maslahi binafsi usithubutu kugombea uongozi kwa TZ ya leo. Kama watoto hawa wanaanza kuhoji mambo leo wakifikisha miaka 18 utaweza kuwapa blabla za CCM ni baba na mama wakubali? Hiki ni kizazi chakimapinduzi! Watch out plzzzzzzzzzzzzzz.ray: