Kupanda kwa nauli -kwa wana ccm no?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupanda kwa nauli -kwa wana ccm no?!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by elimukwanza, Mar 10, 2011.

 1. e

  elimukwanza Senior Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna kule kuamini kuwa ukiwa ccm mambo yatakunyookea tofauti na vyama vya upinzani na ndiyo sababu katika uchaguzi kura za maoni ccm huwa wanawagombea wengi kuzidi vyama vingine,si kwasababu wanakipenda sana,ni kwa kuwa huamini wakiwa huko basi mambo yao yatawanyookea.Sasa wana JF nauliza haya makali ya maisha na upandaji nauli je wafuasi,mashabiki,wapenzi na wanachama wa CCM nao wanakumbana nayo au wenyewe mguu juu wanakula bata? je nauli mpya za daladala zinawabagua waliochagua maisha bora kwa kila MTZ.
   
 2. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Nahisi zinawabagua ndo maana hawasemi bt wangemchagua profesa lipumba yacngetokea haya
   
 3. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Utamu ni kwamba siku hizi wanaogopa kuvaa jezi zao barabarani, sijui makonda watawatabuaje. Nakumbuka tuliambiwa Shinyanyanga walibeba uniform za chama kwenye rambo hadi ukumbini ndiyo wakazivaa. Mabadiliko ni kama maji lazima lazima watayanywa kwani kiu mchezo. Na mbaya wamezoe dezo, kubebwa kwenye malori, viposho vya hapa na pale. Nauli na ugumu wa maisha utawazindua wengi.
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  mi nataka ifike hadi 1000/= ili wakome kuchagua kijuha,..wanaogopa kulalamika si wamechagua wenyewe ila cha moto tunakiona sote...uchumi unapokuwa ovyo ni sababu tosha kuwaondoa madarakani
   
 5. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Hiki kibano ni chawote.
   
 6. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Uzuri wa athari za ufisadi hazichagui itikadi ya kisiasa wala dini, kama ni mgao wa umeme wote tunalala gizani, kama mfumuko wa bei wote tuna kwenda tandaale sokoni ,kama ni nauli kupanda dalala hazibagui ukiweka mguu ndani unakumbana na nauli mpya.Sasa ni ujuha kushabikia chama ambacho sera zake mfu na upofu wa viongozi wake ndiyo zinazo sababisha madhila yote haya.
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Labda wenzetu maumivu yanakuwa ahueni kwa sababu wamekunywa maji ya kijani,manake inaonyesha mpaka sasa somo halijawaingia wamekazana kutuita wahaini
   
 8. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,939
  Trophy Points: 280
  Uswahilini kuna neno linaitwa LIMBWATA, Nasikia hiyo kitu kiboko, ukiipewa utapenda kuanzia nywele mpaka kucha. Labda hawa wenzetu walipo kunywa hayo maji walichanganyiwa hiyo kitu kidogo, ndio maana kuna watu wakisikiliza hata hotuba ya Makamba tuu, kwao ni burudaaan hata wanajisikia kuzimia kwa furaha kumoyo. Nahisi wamewekewa hiyo kitu,tuwasikitikie tuu maana hakuna dawa ya kuwazindua mpaka expiring date yake ifike.
   
Loading...