JK aides on the spot over speech blunder

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
JK aides on the spot over speech blunder Wednesday, 09 March 2011 23:02

By Bernard Lugongo
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Political analysts and activists have criticised President Jakaya Kikwete’s advisers over misleading or outdated information provided to the Head of State.The President has apparently been relying on such information in drafting his speeches.

According to knowledgeable sources, part of President Kikwete’s address to the nation last month was based on a document about the status of the Kiwira coal mine that the Energy and Minerals ministry prepared over a year ago.

The Citizen revealed on Monday that the ministry made available to the President information that there was a plan to seek a loan of about $400 million for the revival of the mine, whereas, in fact, the National Social Security Fund (NSSF) has already applied for the acquisition of the mine for power production.

In separate interviews with The Citizen, a number of commentators said inaccurate information contained in the speech was the result of “negligence, lack of seriousness and inefficiency” on the part of the President’s aides.

The trend, they said, eroded people’s trust in President Kikwete and his government.However, contacted yesterday, State House Director of Communications Salva Rweyemamu declined to comment.Dr Benson Bana of the University of Dar as Salaam (UDSM) said President Kikwete was blameless, and that it was his advisers who were at fault.

“This is a weakness on the part of his advisers…they don’t consult or even cross-check information before passing it on to the President,” said Dr Bana, who is also the co-chair of the Research on Education and Democracy in Tanzania (Redet). He said many people were knowledgeable nowadays and there was no way they would easily swallow untruths from the government regarding what was going on in the country.

“Therefore, as a result of such outdated or misleading information, the people could lose trust in the government,” he said.Agenda Participation 2000 Executive Director Moses Kulaba accused the President’s aides of lacking seriousness. “I think they don’t see the importance of according the presidency the respect it deserves,” he added.

He said it was unacceptable and a shame for the Energy and Minerals ministry not to have up to date information about the ownership and development of the Kiwira coal mine, which is under its domain. The public was likely to lose trust in the presidency as an institution and the President himself if the trend continued, he warned.

Mr Kulaba said President Kikwete should make his advisers accountable for misleading him as way of maintaining the credibility of his office. UDSM lecturer Ayub Rioba said the President’s advisers should be taken to task because such mistakes kept recurring. “Tanzania will not be the first country to make President’s advisers accountable.

It has happened elsewhere...we will only be following suit,” he said.He said the public expected a sensitive institution like the presidency to be efficient and devoid of avoidable mistakes, and attributed such problems to having unqualified people in sensitive positions.“In our country, people are given plum jobs after it is taken into consideration, for instance, how effectively one participated in election campaigns.

“We need to have best brains in various positions, otherwise we should prepare for a continuation of these blunders,” Mr Rioba said.For his part, Mr Deus Kibamba, Executive Director of the Tanzania Citizens’ Information Bureau (TCIB), said all avenues should be exhausted in cross-checking information before it is provided to the President.

“Even ministers should be consulted if that is what it takes for information contained in the President’s speeches to be accurate. I have noticed that the President’s aides rush in preparing his speeches…this is dangerous,” he said.

Mr Mwawiya Zuberi, political commentator based in Tanga, said seriousness was lacking among the President’s aides.

“If the President appointed them on merit, I fail to understand why they are not able to provide him with accurate and up to date information,” he said.He echoed other commentators’ views that this could erode the public’s trust in the presidency and the government as a whole.
 
Mkuu BAK, do you expect any good advice from the Hon Minister for Energy who is comfortably dozing away while the president is making good for his little time to get up to the facts of an energy meeting?

03_11_8cu1nz.jpg

Nilishawahi kuona post za ikulu zinatangazwa mara moja tuu! tena zilikuwa ni post za wapishi....naombeni wadau mnijuze hivi ni kwanini hazitangazwi mara kwa mara? au zina utaratibu wake?
 
hivi huyu Dr.Bana ana akili kweli...we jitu zima linadanganywa halafu unasema eti sio kosa lake..Tatizo na rais mwenyewe hajishugulishi kusoma vitu..Mbona mkapa alikuwa hafanyi maujinga kama haya kwenye hotuba zake???
 
Problem with IKULU jobs is that nowhere will you see any advert for the vacancy. As such, nina wasiwasi kwamba post nyingi kule zinajazwa through NEPOTISM instead of PROFESSIONALISM & COMPETENCY.... Katika hali kama hii unategemea nini???
 
On a sensitive issue like Kiwira (and energy issues in general), i expect the head of our state to have first class information....
Kikwete should have pointed out the blunder himself, and acted accordingly.
 
hivi huyu Dr.Bana ana akili kweli...we jitu zima linadanganywa halafu unasema eti sio kosa lake..Tatizo na rais mwenyewe hajishugulishi kusoma vitu..Mbona mkapa alikuwa hafanyi maujinga kama haya kwenye hotuba zake???

"Madam Chairman" Hata hii nayo tumtafute nani alimdanganya?. Hiki kijamaa ni kilaza sana
 
hardwood,

Uliwahi kuona wapi kazi ya Ikulu ikatangazwa? Ntajie hiyo nchi moja tu ili Tanzania iwe ya pili............
 
Tatizo langu kubwa hapa ni uweledi wa waandishi wetu. Hivi kweli kama suala hili linahusu udhaifu wa watendaji wa ofisi ya rais, je, watu wa kuwauliza maoni ndio hawa aliowahoji ambao hawajawahi kufanya kazi serikalini wala kwenye Private Office hata ya Waziri serikalini? Si angetafuta basi waliostaafu ambao wamewahi kutumikia katika awamu ziizopita ili watupatie best practices tujifunze?
 
JK aides on the spot over speech blunder Wednesday, 09 March 2011 23:02

By Bernard Lugongo

.........."negligence, lack of seriousness and inefficiency" on the part of the President's aides.............

..and on the part of the President himself!!
 
Mmhh, this is very ridiculous. Wake up JK. If it suits you hire back January to write your speeches, coz he's good in research and well, somewhat knowledgeable!
 
..and on the part of the President himself!!

Jamani mie nadhani ni muhimu kuiangalia story hii critically ili kubaini hoja zinazotolewa humu kuliko kukurupuka kama akina Benson Bana na Ayoub Lyoba.....

Msingi wa story hii ni story iliyotoka kwenye gazeti la the Citizen la tarehe 7 March 2011 lenye title inayosema "Did ministry mislead Kikwete on Kiwira?" www.thecitizen.co.tz/.../8834-did-ministry-mislead-kikwete-on-kiwira.html
Hoja waliyojenga ni kwamba Rais katika hotuba yake amesema 1) Serikali amesema mchakato wa kubadilishwa umiliki wa Kiwira unaendelea; na 2)

Mchakato wa kupata mkopo wa USD 400 Million unaendelea

Aliyoyasema Rais sio tu yalitokana na update Taarifa ya Wizara yenye dhamana ya usimamizi wa mradi huo,bali pia ndio maamuzi ya mwisho ya Baraza la Mawaziri kuhusu suala la KIWIRA....na yalikwishatangazwa kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano (refer to Bunge Hansard).
 
Msingi wa hoja ya the Citizen, ni kwamba alichosema Rais sio kweli kwasababu hivi sasa NSSF wame express interest ya kuuchukua mradi huo. Wizara ya MAdini imeshatoa maelezo (angalia http://www.thecitizen.co.tz/component/content/article/37-tanzania-top-news-story/8890-ps-we-gave-kikwete-information-we-had.html

Yawezekana kabisa kwamba ni kweli NSSF wame express interest; na pia NSSF wameshawasilisha serikalini Feasibility study yao na business plan yao ya kuomba kupewa mradi. Hata kama watakuwa wamefanya yoooote hayo, haimaanishi wao ndio wameshapewa MRADI huo. Inawezekana pia,kwamba Vyombo husika serikalini vimeshafanya due dilligence katika proposals za NSSF na kuona hawastahili kupewa mradi huo, ndio maana Serikali imeamua kuendelea na maamuzi yake ambayo ilikwishayafanya hapo nyuma, ambayo Rais ndio ameyaongelea kwenye hotuba yake.
 
For the sake of argument, hata kama hiyo proposal ya NSSF bado inafanyiwa uchambuzi na wataalam serikalini, isingewezekana, Wizara ya Nishati ipeleke taarifa kwa Rais kwamba NSSF wameomba kupewa mradi huo na hivyo Rais awaelezee watanzania........ RAIS anaelezea TAIFA maamuzi ambayo ni FINAL na yaliyokwishaamuliwa na vyombo husika yaani CABINET....laiti angeelezea siku ile kwamba NSSF ina interest na akaacha kuongelea decision ya mwisho ya Cabinet..maana yake angekuwa amebadilisha maamuzi ya CABINET bila kui consult cabinent yenyewe....
 
Hivi hamjui kwamba zaidi ya NSSF, yapo makampuni mengine kutoka China, India, Malasyia, UAE na US ambayo nayo yana interest na mradi huo na yamekwisha submit maombi yao kama walivyofanya NSSF? SAsa je ni sahihi kweli RAIS aanze kuwaeleza wananchi juu ya makampuni hayo, wakati wataalam hawajamaliza zoezi la kufanya uchambuzi na kutoa ushauri unaofaa juu ya kampuni ipi inafaa kupewa mradi au washauri kwamba kampuni zote hizo hazina sifa ya kuendeleza mradi huo?
 
For obvious reasons, wataalam hivi sasa wapo makini sana kwenye kuchambua uwezo na uzoefu wa makampuni yanayoomba kupewa tender, hivyo they must be taking their time ili kuja na ushauri bora ambao hautaiingiza nchi kwenye matatizo. Hivyo hata NSSF kama makampuni mengine lazima wapitie mchakato wa due dilligence....si vema ku succumb kwa PRessure za NSSF kupewa mradi huo....afterall ipo experience ya kutosha inayoonyesha NSSF inatabia ya kupressurize kupewa miradi mikubwa lakini hatimaye hawa make progress (angalia mradi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni- toka miaka 4 iliyopita wamepewa mradi, hawajafika popote),tayari leo hii wameshaingia mradi wa kuzalisha umeme ambao nao nina mashaka juu ya uwezo wao.....Sasa wanachofanya ni kutumia media kuishinikiza serikali iwape mradi huo..........
 
All in all, the PResident was RIGHT na taarifa ya Wizara ya MAdini was RIGHT....... tuepuke kuingizwa kwenye media stories zenye ulterior motives na zenye kutaka kufanikisha maslahi binafsi ya watu fulani.
 
This is

This argument sounds convincing!!
 
03_11_8cu1nz.jpg

They look too tired and non interested was there any contributing factor for their attendance to this meeting shame
 
Asante ndugu kwa kuleta link hiyo. Kama utakavyoona category ya kazi ni 'Non-career'. Inafaa hapa tupate uelewa wa pamoja kuwa wasaidizi wa Rais unaowazungumzia ni ile inayoitwa Ofisi Binafsi ya Rais. Hapa unazungumzia nafasi kama Katibu wa Rais, Mwandishi wa Hotuba, Mtu wa Mawasiliano, Mlinzi Mkuu nk, hawa unategemea nafasi zitangazwe watu waombe tu? Inaingia akilini kweli? Ili ipatikane faida gani?
 
Back
Top Bottom