Rostam rostam rostam aziz tunaimba na kucheza ngoma ya ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam rostam rostam aziz tunaimba na kucheza ngoma ya ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Mar 10, 2011.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Rostam Rostam Rostam Aziz ni jina au wimbo ambao umezoeleka masikioni mwa Watanzania wengi.Matatizo yetu,ufisadi utalisikia jina RA.Huyu mtu ni nani?Nimejaribu kufuatilia mtirliliko wa matukio yanayo muhusu mtu huyu CCM rais na serikali kwa ujumla.Kila ulipo ufisadi yupo.Kwani kila sehemu ni yeye?Kwanini sio Mwanakiji,Masanja,Rutashobya,Mwakipesile n.k.Huyu Rostam ni Myth ni mtu wa kufikilika ambae ametumiwa na mafisadi (CCM) kutudanganywa na kutuibia.Mpango wao ulibuniwa vizuri na unaendelea vizuri.Sisi tunaendelea kuimba na kucheza Rostam! Rostam! yeye ni nani?Rais?Mfalme?Mungu mtu?!!!HAPANI HAPANA ROSTAM NDIO YEYE CCM .ROSTAM ni kivuli cha ccm kinachotumiwa na mafisadi wa CCM na Rais kutuibia.Wakisha timiza mradi wao hatutakua na sehemu ya kuzitafuta pesa na rasilimali zetu wala huyo ROSTAM.Huo ni mpango uliosukwa vizuri na mafisadi wa CCM.Kwanza kuchagua kivuri ROSTAM wamemchagua mtu ambae historia yake na uraia wake ni utata mtupu hivyo hata atakapotoweka hatutakua na uwezo wa kumpata.Ndiyo maana hawakuchagua majina niliyoyataja hapo juu kama mfano.Kwani kwa mzawa na mtanzania mwenyeu chungu na nchi yake ingelikua vigumu kubeba kivuli hicho ROSTAM.TUSIKUBALI KUDANGANYIKA NA KUELEKEZA NGUVU ZETU KUKISHUGULIKIA KIVULI ROSTAM AZIZ WAKATI ROSTAM MWENYEWE ORIGINAL(CCM) AMEKAA PEMBENI ANAENDELEA KUTUNYONYA WAKIISHA TIMIZA LENGO LAO AU TUKIWABANA TUTATANGAZIWA ROSTAM AMENYANG'ANYWA URAIA NA KUFUKUZWA NCHINI MCHEZO UMEKWISHA MAANDAMANO NCHI NZIMA KUMPONGEZA MH.RAIS,CCM NA SERIKALI KWA UAMUZI WA KIJASIRI!JK SHUJAA!!!!!!!!!!! Nyoyo zetu zimetulia !PESA ZETU,RASILIMALI ZETU,MATESO TULIYOYAPATA,MZIGO TULIOBEBESHWA NANI WA KUBEBESHWA?HAKUNA ROSTAM KIVULI HAYUPO TUNAMTAFUTA,ATAPOTEA KAMA DR.BALALI.WATANZANIA TUSIDANGANYIKE TUELEWE YA WAZI YA KUA ROSTA AZIZ NDIYO HUYOHUYO CCM.TUFUTE MAWAZO KWA KUPOTEZA MUDA WETU KUPAMBANA NA ROSTAM AZIZ TUIBANE CCM NA UTAWALA SISI HATUMJUI ROSTAM MTU TULIEWEKIANA NAE MKATABA WA KUTUTAWALA NI CCM FULLSTOP...............ROSTAM AZIZ WANAMFAHAMU WAO.HIVYO WA KUWAJIBIKA NI CCM.TUKIJENGA HOJA ZETU HIVI ITAKUA VIGUMU KUTOWEKA NA RASILIMALI BILA KUWAJIBIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
Loading...