KULIKUA NA SABABU GANI KIKWETE KWENDA KUMCHAGUA HUYO WAZIRI MKUU PINDA AMBAYE HALIKUA AJULIKANI,
SIFA KUBWA YA PINDA NI MTOTO WA MKULIMA, NA NI KWELI MAANA ASILIMIA ZAIDI YA 80% YA WATANZANIA...
Katika mambo yanayonishangaza ni mpango wa serikali kuingiza pikipiki aina ya bajaji zilizopewa jina kuwa za kisasa kubeba wanawake wajawazito...na kwa upande wa pili wabunge wetu wakipigiana...
* Blaise Campaore played a key part to kill Nyerere's Idealistic revutionalist Thomas Sankara. Blaise Campaore is gready for power now is AU peace Council is this a joke?
* Jacob Zuma said he...
RC ARUSHA agoma kusitisha huduma ya Loliondo, asema
- hajapata barua yoyote kutoka wizarani
- kwa hali ya sasa na wingi wa watu ni vigumu kusitisha huduma hiyo
SOURCE : mwananchi
update...
Tuache unafiki na ubishi wa kujifurahisha nafsi wa funika kombe mwanaharamu
apite. Ukweli ni kwamba bara la Africa limevamiwa na wageni wengi kutoka nje.
wengi wa wageni hao ni Wazungu,wahindi...
Wanasiasa na sisi tunaojiita wasomi tumekuwa tunaongea sana . lakini tunashindwa kuonyesha mifano japo mara moja au masaa machache kwa wiki.
Ni mwanasiasa , kiongozi u msomi gani yuko tayari...
Kama mwakyembe aliweza kuvaa magwanda na kusimamia ukweli na haki kwenye ile tume hawezi kushindwa hili.
Sitta naye Alijipatia sifa kem kem kwa bunge lake kwa msemo wa speed and standard.
Sasa...
THE government has reaffirmed its keenness to develop the Kiwira Coal Mine in Mbeya Region and talks with the two parties interested to inject 400 million US dollars to the project "are in top...
Watu 10 wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar baada ya kupigwa na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kambi ya Bavuai Migombani kufuatia mke wa...
Kwa mujibu wa Sensa ya Mwaka 2002, ramani hii inaonyesha vijiji/mitaa iliyosajiliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Sasa hapa ni kuwa strategic! Mmeanza vizuri na target areas za Kanda ya Ziwa...
Kwa muda sasa mara baada tu ya uchaguzi, cdm imeingia katika mkakati kamambe wa kuwadaisha wananchi haki zao za msingi (zinajulikana) na kuichachafya ccm hadi kufikia hatua ya kuitwa wahaini. Ni...
katika uchaguzi wa 2005, Waislam walikuwa 3 (Kikwete, Salim na Kigoda) na Wakristo zaidi ya 10 walijitokeza kugombea Urais kwa tiketi ya CCM. Kati ya hao waislam 2 ( Kikwete na Salim) na Mkristo...
Heshima na amani kwenu ndugu zangu wana-JF,
Kwanza nitoe heshima zangu za pekee kwa watu wa rika lililosogea na wazee ndani ya JF ambao wamekuwa wakitufungua macho yetu vijana wengi katika...
Kwa muda sasa mara baada tu ya uchaguzi, cdm imeingia katika mkakati kamambe wa kuwadaisha wananchi haki zao za msingi (zinajulikana) na kuichachafya ccm hadi kufikia hatua ya kuitwa wahaini. Ni...
Dar es Salaam - African Intel.
So far, only Prime Minister Mizengo Pinda has publicly disclosed his earnings and assets, but President Jakaya Kikwete has just inadvertently lifted the veil a...
Kama ni maajabu basi hili litakuwa moja ya maajabu ya dunia.Hakuna aliyetegemea kuwa CDM kingeonekana mwiba mkali kwa serikali ya CCM katika kipindi cha muda mfupi kiasi hiki.Mikakati na mbinu za...
Bado naendelea kufikiri jambo lililomfanya mkuu wa nchi kutangaza kuwa anataka kuondolewa madarakani kwa nguvu.
Si jambo la kumwingia mtu akilini kwa Rais kusema jambo zito kama hilo la...