Waziri mkuu pinda ni chambo na hatatumaliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu pinda ni chambo na hatatumaliza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmzalendo, Mar 11, 2011.

 1. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KULIKUA NA SABABU GANI KIKWETE KWENDA KUMCHAGUA HUYO WAZIRI MKUU PINDA AMBAYE HALIKUA AJULIKANI,
  SIFA KUBWA YA PINDA NI MTOTO WA MKULIMA, NA NI KWELI MAANA ASILIMIA ZAIDI YA 80% YA WATANZANIA WOTE NI WAKULIMA HASA KWA WAKATI ALIOZALIWA PINDA
  PINDA KAPEWA HICHO CHEO ILI SISI MASIKINI TUJUI TUNA MWAKILISHI LAKINI HAKUNA KITU MIMI NAKUAMBIA
  KAWAWA ANA WATOTO WAWILI BUNGENI MPAKA SASA MAKAMBA
  NADHANI KILA MTU ANAJUA

  sornce:
  www.lifeofmshaba.com: WAZIRI MKUU PINDA UMASIKINI HUPO MPAKA SUMBAWANGA!!!!!

   
 2. n

  nyantella JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Hebu ongeza maelezo kidogo maana hadi sasa bado thread haiko clear unataka kusema nini.
   
 3. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  bado sijakusoma mkuu
   
 4. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Husomeki mkuu, ulitaka amchague anani anaejulikana? Je unataka amchague mtu mwenye watoto wawili bungeni au nini? Je huyo Makamba na Kawawa wameletaje faida kwenu nyie maskini kama unavyosema??

  I'm sorry to say this thread has no meaning na ni bora ikafungwa tu cos inajaza nafasi bure hapa!
   
 5. WAKUNJOMBE

  WAKUNJOMBE JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  mkuu hata mimi sijakupata....kwanza hiyo heading yenyewe...unataka maanisha waziri mkuu pinda ni chambo na atatumaliza au hatatumaliza?
  HALIKUWA AU ALIKUWA
  AJULIKANI AU HAJULIKANI
  ...HEBU NISAIDIE ULIKUWA UNAMAANISHA NN?
  AKHASANTE
   
 6. T

  TUWEKANE BAYANA Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hausomeki ndugu, no connection... pinda makamba kawawa vipi sasa?
   
 7. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  mie nasikia kihindi hindi
   
 8. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina maana kikwete anatucheze akili tumuone yeye ni mtu safi
  katuweke na waziri mkuu mkulima
  kumbe mwizi mwenzie
   
 9. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete anataka sisi tuone serikali yake inawatu wasafi kwa kumuweka
  pinda kumbwe wote wezi tu hapo
  na huyo pinda sio lofa kama anavyo jitangaza ila ana sura mbaya
   
Loading...