Rutunga M JF-Expert Member Mar 16, 2009 1,769 1,382 Mar 11, 2011 #1 Kumbe ilikuwa mshike mshike wanawani,Mnyika,Slaa,mbowe funika bovu ebu gonga hapa
F Froida JF-Expert Member May 25, 2009 8,768 3,232 Mar 11, 2011 #2 Rutunga M said: Kumbe ilikuwa mshike mshike wanawani,Mnyika,Slaa,mbowe funika bovu ebu gonga hapa Click to expand... Wananchi kweli wameamuka hakuna kurudi nyuma tena,tunajifunza mengi na huu uwajibikaji wa hiari wa wananchi kudai haki yao ya msingi bila hofu
Rutunga M said: Kumbe ilikuwa mshike mshike wanawani,Mnyika,Slaa,mbowe funika bovu ebu gonga hapa Click to expand... Wananchi kweli wameamuka hakuna kurudi nyuma tena,tunajifunza mengi na huu uwajibikaji wa hiari wa wananchi kudai haki yao ya msingi bila hofu
Indume Yene Platinum Member Mar 17, 2008 2,950 711 Mar 11, 2011 #6 Huyo Mtangazaji katika hiyo TV ana-pause ukifikiri kuwa anaendelea na sentensi nyingine, kumbe kamaliza.
Huyo Mtangazaji katika hiyo TV ana-pause ukifikiri kuwa anaendelea na sentensi nyingine, kumbe kamaliza.