millioni 90 za wabunge na bajaji za kubeba mama zetu........................

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Katika mambo yanayonishangaza ni mpango wa serikali kuingiza pikipiki aina ya bajaji zilizopewa jina kuwa za kisasa kubeba wanawake wajawazito...na kwa upande wa pili wabunge wetu wakipigiana pande la millioni 90 kwa ajili ya kununulia magari ya kifahari...Kuna uwiano wa mambo ktk hili? Na waziri wa afya ili kutupiga maboya amesema pikipiki hizo zimeonyesha mafanikio ktk nchi za malawi,kenya nk.....Jamani mbona hamna huruma na sisi?
 
Back
Top Bottom