Ni hivi majuzi kulikuwa na fukuto ndani ya serikali kuhusu bomoa bomoa ya magufuli huku pinda akimpinga wazi wazi. Wanaharakati na wanazuoni wakamshauri magufuli ajiuzulu ili kulinda heshima yake...
Re: Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?Ndugu zangu, nimechelwa sana kujibu tuhuma dhidi yangu kwani ni mimi Dickson Amos Ng'hily ndo nilituhumiwa kumtukana Rais Kikwete....Nway...
Habari wana jamiiforum aka great thinkers. Mimi ni kijana mdogo nina miaka 25,sikupata kumuona nyerere uso kwa uso lakini alifariki nikiwa nina ufahamu mkubwa tu wa mambo mazuri aliyofanya katika...
Kwanza; Tumeonya watu kuwa waangalifu sana na kujadili CCM, kwani upepo ukibadilika watu hawa nao huwa wanabadilika. Upinzani; this is a challenge, wengi wa hawa followers ni wafuata upepo kwa...
Written by mkulima // 26/03/2011 // Habari // No comments
Ama kweli kwa M/Mungu hakuna kubwa? takribani kipindi kirefu Wzanzibar tuligaiwa mapande na kupandikizwa chuki za Uarabu,Upemba na...
Leo nilikwenda Sanya Juu, Wilaya ya Siha, Jimbo la Siha, kule kwa Mh. Agrey Mwandri, Naibu Waziri TAMISEMI na Mbunge wa Siha. Kwa kweli sikuamini nilichokiona hadi wenzangu kwenye gari...
Saturday, 26 March 2011 10:05
WABUNGE 52 watafikishwa katika Baraza la Maadili, kujadiliwa na kuhukumiwa kutokana na kushindwa kujaza fomu za maadili ya uongozi wa umma tangu mwaka 2005, Kamati...
Hoja ya Sumaye yazua mvutno mkali ndani ya chama
Sunday, 27 March 2011
Waandishi Wetu
KAULI ya Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, aliyoitoa dhidi ya tuhuma alizotupiwa imezidi kuwasha...
Nimekuwa nikifuatilia taarifa za viongozi wetu wa Tanzania tangu tiba ya babu kule Loliondo itokee na nimekuja kugundua yafuatayo:
1. Viongozi wetu wengi wa serikali na chama tawala ni wagonjwa...
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi...
........Siku za karibu kumekuwa na mipasho inayoendelea kati ya viongozi wa ngazi za juu wa chama cha CCM(napata hata kichefuchefu napokitamka) na baadhi ya jumuiya zake kama ile ya UVCCM...
Kumekuwa na promo nyingi toka kampuni za simu na nyingine ni kuwauzia wateja ringtones za miito.
Hii ni tofauti na mauzo yaliyo wazi kama mauzo ya airtime, na hata simu za makampuni husika...
Lini? Tarehe 25/03/2011
Wapi? Viwanja vya Biafra, Kinondoni.
Alisema nini?
ameamua kuvunja ukimya na kuwaambia waislamu kote nchini umefika wakati wa kufanya mashambulizi dhidi ya watu ambao...
Wana JF nimeshistushwa sana na taarifa kuwa serikali yetu inadaiwa 3.1 trillion na mfuko wa pension kwa watumishi wa umma. Swali langu kuu, hili deni ilikuwaje hadi likafikia kiwango kikubwa cha...
7:34 PM on 26th March 2011
Hooded anarchists throw paint and set off flares on Oxford Street
Police targeted with missiles and light bulbs filled with ammonia
Windows at The Ritz smashed as...
Tabia zao kijamii, kisiasa, kiuchumi, kielimu, kimaslahi na kimienendo
.................................
Labda nichokoze kimienendo inasemekana wote ni usalama wa taifa, kweli?