Mufti Issa Shaaban Simba Atangaza Vita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mufti Issa Shaaban Simba Atangaza Vita

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Mar 26, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Lini? Tarehe 25/03/2011

  Wapi? Viwanja vya Biafra, Kinondoni.

  Alisema nini?  • ameamua kuvunja ukimya na kuwaambia waislamu kote nchini umefika wakati wa kufanya mashambulizi dhidi ya watu ambao watabainika wanawakandamiza waislamu na uislamu nchini
  Kulikuwa na pumba zozote kwenye mawaidha ya Mufti?
  Ndiyo. Zilikuwepo.
  pale aliposema ati waislamu ndiyo walisimama kidete katika kuhakikisha watanzania wanapata uhuru wao na walijitolea kwa hali na mali ikiwemo kutoa vijiwe vyao vya kahawa kwa ajili ya wapigania uhuru.

  Chanzo cha habari hii ni wewe Jerusalem au ? Maana Angalia usije ukapigwa ban!! ohoo!

  Yerusalema niko smart. Sipendi majungu, na siku zote niko updated na mabreking news. Hii habari nimeitoa gazeti la Jamba Leo. ukurasa wa 5, culumn mbili za upande wa kulia.
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0


  Hili nalo limeanzishwa lini? Lipo nalo kwenye orodha ya mkuu wa posta? IF so kesho naandamana kulipinga
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  halahala kidole na jicho jamani
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dah,we mkali Jamba leo tena?
   
 5. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  :lol::lol::lol::lol::A S 41:
   
 6. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Source ya hilo gazeti nadhani HAKUNA GAZETI TAJWA KWA JINA HILO, umeleta mada vizuri lkn umepotoka na kuharibu.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  ngoja nimalizie fegi yangu nitakuja kurekebisha badaye. nahis kuna taipingi era.

  lkn usifikisri huu ni udaku
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Ni vita vya wao wenyewe nadhani....
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Muwe makini sana hususan mnapojadili haya masuala ya kiimani. Kwani ni khatari sana haya. msifanye mzaha
   
 10. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Ama kweli wahenga walisema 'jasiri haachi asili' wote tunajua msingi wa itikadi ya huyu mtu ni ncha ya upanga, hivyo sasa anawakumbushia wafuasi wasisahau asili yao, ya visasi.
  .
   
 11. Mch.A.Mwasapile

  Mch.A.Mwasapile Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi namfahamu Mufti, akishapuliza cha Arusha hutumia tumbo kufikiri badala ya Ubongo
   
 12. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Angalia 'kiwingereza' chao sasa:


  [​IMG]
   
 13. Mch.A.Mwasapile

  Mch.A.Mwasapile Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  = ilmu + bangi
   
 14. Mch.A.Mwasapile

  Mch.A.Mwasapile Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwahahahaaaa Gazeti la Riz1 & Co hili
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Akale kashata tu na kahawa!
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  toka asubuhi natafuta fegi man!!!
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  Hata wengi waao waliopo hapa JF wapo chali
  mafano mhogo mchungu na salma
   
 18. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Insubstantial:nimekataa:nimekataa:nimekataa
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  i repeaet this os noet udaku. kama kazeti ala Jamnabo Leo ni la udaku sawa.
   
 20. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kumbe mufti anavuta fegi!
   
Loading...