Many CHADEMA followers are NOT Real and are like UVCCM! ( IS CCM>WAPINZANI??) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Many CHADEMA followers are NOT Real and are like UVCCM! ( IS CCM>WAPINZANI??)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Waberoya, Mar 26, 2011.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Kwanza; Tumeonya watu kuwa waangalifu sana na kujadili CCM, kwani upepo ukibadilika watu hawa nao huwa wanabadilika. Upinzani; this is a challenge, wengi wa hawa followers ni wafuata upepo kwa mfano,. kumjadili Beno mallisa au martina shigela ili iweje? who are these poor guys? nimeona wanaojiita chama cha wapinzani wakuu, wamo humo na wanawakandia kweli...kumbe wangefanya kinyume chake wangewasifia! these guys are CCM followers..caught in the act! CCM bado iko vichwani mwao kwa vitendo na hisia, ila midomo yao wanajiita wapinzani!

  Pili; huu upepo au situation iliyomo ndani ya CCM, kusemana hadharani na watu kuwasifia wakiwa sikiliza Sita, mwakyembe au Sumaye wakisema vitu kinyume na chama chao! still wapinzani au maadui wa CCM wanafurahia sana hili swala..TENA WANAWASIFIA mno.

  Turudi nyumbani

  Turudi chamani

  Je vyama hivi vya upinzani member wao mmoja akisema kinyume au nje ya chama, huwa anachukuliwaje?? msaliti, mwongo, ...mzushi.....mkweli??

  Tafakari

  Ukienda kulia na kushoto, utakuta wengi HATUONGOZWI NA KANUNI tuna double standard

  kwa hali hii CCM ikItulia na ikaponea chupuchupu kutoparaganyika then CCM inaonekana kidemokrasia iko mbali na imeacha vyama vingine mbali mno..huu ni ukweli!

  Kwenye upinzani bado hakuna uhuru wa mawazo na KUTOFAUTIANA KICHAMA WATOFAUTIANE CCM, WAKITOFAUTIANA ndani ya vyama vingine HAITAKIWI!! mathalani moto huu wa uonaouchoma CCM, chadema will never sustain even a second!! sound true eeh!

  Walichosema UVCCM ndio dhana na wengi akina chadema-JF huwa mnasema pindi mmoja wa viongozi wenu akisema nje ya chama! Je tofauti yenu ni nini?? meza hilo!

  ukiishi kwa kanuni RAHA!!

  Just evaluate yoursefl

  Msema ukweli daima!

  Matusi proof
  Waberoya
   
 2. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,991
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Waberoya....
   
 3. S

  Salimia JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mmh! ngoja kiduchu.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  jealous ....... feeling resentment against someone because of that person's rivalry, success, or advantages
   
 5. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Thanx sana Web kwa post yako ila mie nina macheche ya kuchangia....

  1. Is 100% declared that JF is 4 Change???? UPINZANI???? Such that hakuna haja ya Kujadili yanayoendelea upande wa CCM ambao bado ndiyo chama Tawala (UKWELI). Hawa wanafaa kujadiliwa ili tujue udhaifu wao na Uzuri wao....huwezi ukapambana na adui usiemjua...Ukijua his/her STRENGTH and WEAKNESS inakua rahisi sana kuwin Battle......

  2. Member wa Chama kusema nje ya chama inategemea na kauli itakayotolewa na member husika ina athari gani kwa jamii itakayosikia kauli hizo...More -ve kauli lazima zitapondwa na other party members....No matter kama kauli hiyo ina ukweli au la....

  3. Kuhusu CHADEMA kupata misukosuko kama hii wanayoipata CCM kama wataweza ku sustain au la hili linahitaji kutokea kwanza....ila nao CDM wameshapata misukosuko lakini bado wapo...na wanapambana....Alikuwepo David Kafulila na sana kuna SUGU...ni kama bandika Bandua.....Kwa misukosuko ya UFISADI ni mpaka hapo CDM watakaposhika DOLA...au Halmashauri wanazoziongoza kama zita underperform.
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Waberoya take it easy this is how life goes siku moja utakuja kufa kwa msongo wa mawazo na pressure kwa kuwaza mambo ya Chadema.
   
 7. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mwombe mwenzako njaa lakini hilo ni dua la kuku alimpati mwewe.
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  suala la bwana mdogo shigela kumtukana mtu mzima kama Mzee Sumaye, au gazeti la Ridhiwani & Co. kuibuka na habari yenye maandishi "Sumaye Wee ni Ziro - UVCCM"; huu ni utovu wa nidhamu ambao hauna kipimo, ambao unapaswa kupigwa vita na jamii ya watu wa vyama vyote ikiwemo watu wa Chadema.

  Wapi maadili. Wabe, taratibu mkuu. Watu wanasoma na kutafakari unachokiandika.

  Au unasubiri UVCCM wamtukane mama yako mzazi ndo ujue kama hawa watoto ni majeuri. na 'kuna mtu amewatuma' kama alivyosema mzee Sumaye?
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh,you are great waberoya you look things on both sides
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  umeona eeeeeeeeeeeh?
   
 11. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,762
  Trophy Points: 280
  Kujadili hawa watu akina Shigella et al ni muhimu na ni halali. Wewe kwa sasa unawaona insignificant. Lakini hawa watu ndo not in a distant future utawaona wameassume madaraka makubwa sana katika taifa letu kutokana na connection zao na wakubwa. Lazima tujenge culture ya kuwafahamu watu wenye ambitions na potential ya kuongoza. Otherwise kila siku tutakuwa caught offguard or by surprise. Halafu ni vema ukajua kwamba katika siasa tuna malengo na maoni tofauti. You cant force people to think or act to your liking. JF ina watu wa CCM/CHADEMA.CUF nk and thats politics. Kwamba Lowassa asijadiliwe au Membe..you forget kwamba hawa watu ni watanzania kama wengine wenye haki na wajibu kama raia wengine. Mimi kama mimi..naweza kuwa na mashaka na Lowassa kugombea uongozi wa juu. Lakini naheshimu kabisa haki yake ya kufanya hivyo. Ndo maana wengine kila siku tunalilia utawala wa sheria kwa sababu tunaamini ni sheria pekee inayoweza kumhukumu mtu kwa haki. Tujifunze kuangalia mbali zaidi. Lazima tujue CHADEMA itakuwepo bila ya Dr. Slaa au CCM bila ya Kikwete au Ridhiwani. Our greatest weakness is to personalize everything without being mindful of the consequences to our nation.
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,053
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  gud 4 the posit..kuchallenge lisiwe tatizo,tatizo liwe anayetoa challenge ana lenga nini na kwa manufaa ya nani..hata ndani ya CDM kna kpindi mambo yanasuasua na CCM wanacheka na wengne wanasifia cha muhimu ni lazima uelewe mwsho wa cku ww ni kijani/ukombozi
   
 13. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Waberoya you have pointed some important things to help us think

  Hata hivyo kinachochefua ni kwamba hawa vijana wanachofanya ni defarmation ya watu ambao wanafanya kazi nzuri ya kuisaidia CCM kukaa kwenye mstari

  Labda swali itakuwa, kwa nini kama Upinzai kuunga mkono juhudi za kusaidia CCM kurudi kwenye mstari? Bado ukweli unabaki kuwa CCM ndicho kilichoshika dola kwa miaka mi-5 ijayo na ndio wanaoisimamia na kuiendesha serikali katika utekelezaji wa mambo ya muhimu. SASA kitoto ambacho hakijalelewa kimaadili kinapotukana watu ambao wanakisaidia chama kurudi kwenye mstari na kuhudumia jamii tukitazame tu?

  Ni kweli adui mwombee njaa, lakini wakati mwingine anapokuwa mpuuzi mpongeze ili aendelee na upuuzi wake iwe faida kwako hata bila kumuombea njaa....sasa kwa kuwa hawawasikilizi hawa wazee...CHADEMA tutakaa kimya ili wamalizane wenyewe (hapa ndipo ninapoupokea ushauri wako)
   
 14. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,163
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  WABEROYA,nafurahia maoni yako.kule CDM hakuna mitandao ya mafisadi,kama huku CCM. na ujwe ccm inaongoza serikali ya nchi yetu na hivyo wanapotumia muda na raslimali za nchi kulinda na kujenga mitandao.badala ya kukuna vichwa kutuletea maendeleo,wao wanakuna matumbo kuleta njaa.we waona sawa hiyo??,
  BIN MALIZA na SHE-GIRL ni mifano ya upofu wa madaraka, na uvamizi wa siasa."Makamanda" badala ya "Makada" na matokeo yake ndo tuyashuhuhudiayo.wanasema bila hofu wala chembe ya aibu.(Baunsa kawatuma?.)
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Waberoya, nimeipenda hii ya msema kweli daima, kwa vile unaelewa kinachowafika wasema kweli wengi, hata Galileo Galilei baada ya kugundua Telescope na kusema dunia ni duara, aliuwawa!.

  Pia hii ya 'matusi proof' imetulia, nilishajifunza zamani, humu forum ukipost anything against chama fulani, watakushukia kwa mitusi utadhani umefanya dhambi ya mauti!. Hivyo mitusi proff ni angalizo tosha kwa wavurumushaji matusi.

  Naendelea kufuatilia.
   
 16. Drifter

  Drifter JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Mkuu kauli yako ina uzito kwa wanaosimamia maslahi ya vyama tu (nadhani nawe ukiwa mmoja wao kwani dalili zaonyesha unataka kuwagonga Chadema-JF) ingawa sidhani kama Chadema inaweza kukumbwa na masahibu yanayoiadhiri CCM hivi sasa (labda nayo ikiukwaa u-chama tawala huko mbeleni). Hiyo migongano ndani ya CCM leo hii huwezi kuita demokrasia. Inatokana na kubomoka kwa misingi (mihimili) mikuu ya chama. Ni malumbano kati ya mafisadi na wanaojaribu kuonyesha au kutushawishi wananchi kuwa wanapambana na hali hiyo ili kukirejesha chama "nyumbani" na hivyo kukinusuru kisiangamie.

  Chadema msimamo wao uko wazi na wanazungumza lugha ya wananchi inayoeleweka leo hii (vita dhidi ya ufisadi na huduma mbovu kwa watanzania). Sasa akitokea mtu humo ndani akazungumza hadharani msimamo tofauti, lazima wanachama na wapenzi wa chama wamshambulie. Hii imeshatokea mara kadhaa na Chadema imezidi kuimarika. Huwezi kushambulia msimamo wa chama wa kupambana na mafisadi halafu utegemee kauli zako kuheshimiwa kwa kisingizio cha kuimarisha demokrasia.

  Kwa sisi wengine ambao suala kuu ni kuona uongozi imara unarejea nchini, hatuna tatizo na kumsifia kada wa CCM anayeonyesha nia ya dhati ya kupambana na uozo uliomo ndani ya chama hicho. Hatujui, pengine miujiza inaweza kutokea kukatokea mapinduzi ya dhati ndani ya CCM tukakuta uongozi wa chama unachukuliwa na watu wenye nia ya dhati ya kurejesha nchi kwenye misingi ya utawala bora katika nyanja zote za kiuchumi, kijamii na kisiasa. Watanzania tukaweza kujivunia tena nchi yetu.

  Lakini, hadi sasa, mie binafsi nimeshaikatia tamaa kabisa CCM. Nimefikia kuamini kuwa chama hicho hivi sasa kimedhibitiwa kikamilifu na kikundi cha mafia na wote waliomo ndani yake na wanaokanyagana kuingia ni watafuta/watumia fursa kwa maslahi binafsi tu. Hawana ubavu wa kuleta mabadiliko yoyote ya maana. Kwa mtaji huo, ujumbe wa Chadema utaendelea kuwa muziki unaoeleweka kwa wengi wetu kwa muda mrefu ujao.
   
 17. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  CCM hakuna msukosuko, ila kuna tekniki za kuwaadaa wapinzani nao siku zote huwa wanashangilia, mwishoni wanasema wameibiwa kura.
   
 18. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  If so they are using old fashioned techniques for loosing more constituency seats.
   
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Mmmhi, mipasho
   
 20. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hiyo teknik ndo imewawezesha kuwa na viti vingi bungeni, bila kuwazubaisha upinzani ingepoteza sana. Upinzani walikuwa wamestopishwa wakisubiri kundi litakalo megeka.

  Na sahizi maandamano yenu hayasikiki ktk vyombo vya habari sahizi mnasikia sarakasi hii, harafu unasema ni old stile. weeee
   
Loading...