Why is CCM afraid of CHADEMA movement? Mwanri akosa watu kwao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why is CCM afraid of CHADEMA movement? Mwanri akosa watu kwao!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrah, Mar 25, 2011.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Leo nilikwenda Sanya Juu, Wilaya ya Siha, Jimbo la Siha, kule kwa Mh. Agrey Mwandri, Naibu Waziri TAMISEMI na Mbunge wa Siha. Kwa kweli sikuamini nilichokiona hadi wenzangu kwenye gari waliponithinitishia.

  Wakati tumefika Sanya Juu, maeneo ya sokoni (mjini) nikamsikia Mbunge, Waziri Mwandri akihutubia mkutano wa hadhara. Mwanzo nilidhani ni hotuba yake imerekodiwa maana niliona pick-up ikiwa ina maspika makubwa na watu wapatao hamisini hivi wamesimama wakisikiliza hotuba ya Mwandri. Nilisema ni hotuba iliyorekodiwa, lakini abiria nliokuwa nao wakaniambia ni Mbunge/ naibu Waziri Mwandri anahutubia; nlibisha lakini wakanionyesha mtu amesimama akiwa na suti ya light bluu akiongea akiwa amesimama chini mble ya nyumba kubwa na kibarazani mwa nyumba hiyo watu wachache mno (hawazidi 50) wamesimama wakimsikiliza kwa makini.

  Watu wengine walikuwa wakiendelea na shughuli zao kama kawaida maeneo hayo na hawakuona kama kuna haja ya kunsikiliza waziri Mwandri. Hii ilinipa kujiuliza maswali kwa nini watu ni wachache hivyo na, mbona kama vile wapiga kura wake wamemtelekeza?

  Tafakari yangu ilinipeleka kwenye jibu kuwa, ndio maana Serikali ya JK na CCM wametaharuki na kuanza kuhisi kuwa CHADEMA wanataka kuwaondoa madarakani maana wananchi wengi wamekata tamaa na CCM na Serikali yake na CCM na Serikali vimepoteza mvuto kwa umma.
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukiona hivyo ujue hata shinda yake ubunge ilikuwa na mashaka makubwa. Wananchi wa sasa hawaganganyiki!!
   
 3. i

  ibange JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ndio maana ccm wanapinga maandamano ya chadema kwa kuwa wao hawana uwezo wa kukusanya watu kwa sasa
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,944
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  Angetangaza agenda ya babu wa Loliondo ikawamo angejaza watu. People are sick and tired of being sick and tired
   
 5. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu hilo si kwa viongozi wa CCM na wabunge wake,
  Kama viongozi wa ccm wangekuwa na hoja za kuwaeleza wananchi wangefanya mikutano ndo maana sasa wameishia kwenye vyombo vya habari kueneza propaganda.Je wangapi wanayasoma magazeti huko vijijini kuliko na wakazi wengi walalaoi,.?
   
Loading...