Ng'jhili avunja ukimya, na kusema 'CHADEMA in struggle for independence'


silver25

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
744
Likes
1
Points
0

silver25

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2010
744 1 0
Re: Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?
Ndugu zangu, nimechelwa sana kujibu tuhuma dhidi yangu kwani ni mimi Dickson Amos Ng'hily ndo nilituhumiwa kumtukana Rais Kikwete....Nway mengi yamesemwa..Ndugu zangu...ninachoseam ni kile kile nilichowaambia police....sikumtukana rais coz urais ni taasisi na kamwe siwezi kuitukana..ninaiheshimu sana...ila mimi nilimuongelea bwana mmoja anaitwa Kikwete....Na yale niliyosema siyo matusi...na ukweli sikusudii na sitarajii kuomba msamaha kwani ninaamini nilichokisema siyo tusi...Na ukweli sijutii nilichokisema na hata polisi niliwaeleza na ndio maana baada ya kuhojiwa kwa saa tano...waliniachia huru na kunipa onyo kuwa japo sio tusi ila wanaomba nisirudie kusema maneno kama hayo.....Wanaotaka maelezo zaid wanaweza kuwasiliana na mimi moja kwa moja kwa kutumia barua pepe yangu ya nghily@hotmail.com au dick333amos@yahoo.com au kwa simu ya kiganjani ya +255 71 553 9602, na +255 75 453 9602

Asanteni kwa michango yenu....

Kwa mtindo Huu Chadema basdo ipo kwenye mapambano,, na inaendelea kusaka Kura za 2015, uraisi na wabunge majimboni,, naomba tuiunge mkono kwanguvu ya watuuu

Peeeeoooopleeeee..........:israel:
 

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
3,068
Likes
647
Points
280

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
3,068 647 280
Asante tuko pamoja 2015 nakwenda kugombea ubunge kupitia chadema nitatangaza mwakani 2011.Lazima ccm ING'OKE 2015
 

STEIN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Messages
1,765
Likes
4
Points
135

STEIN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2010
1,765 4 135
Tunashukuru kwa maelezo yako na cha msingi ni kuhakikisha watanzania wanafahamu manen uliyosema, kama ni hayo hata mimi naoni si tusi hata kidogo.

Tujipange kwa ajili ya 2015 watanzania wapo tayari kulinda kura kwa hali na mali.

Kazi kubwa kwa sasa ni kuhakikisha chokochoko za hawa mawakala wa CCM inakoma maana chadema tulikuwa na adui CCM na sasa wameongezeka hadi wanne, ambao ni CCM, NCCR,TLP na CUF

Mungu ibariki Chadema na Viongozi wake, Mungu ibariki TZ
 

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
7,695
Likes
177
Points
160

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
7,695 177 160
Tangu mwanzo nilijua no case to answer ila ilikuwa ni vihelehele wa CCM wanaotafuta vyeo vya hisani maana hivyo ndivyo vitolewavyo na CCM walilifanya issue ili kikwete awaone bora.

Hivi mambo anayoshadadia Makamba unadhani huwa yana maana? Ni mzee aliyehishiwa hekima na sasa hivi anatumia mdomo kufikiri. Hivyo anasema lolote tu.
 

NewDawnTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
1,675
Likes
6
Points
0

NewDawnTz

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
1,675 6 0
Huu ndio ujasiri unaotakiwa katika kuleta mageuzi ya kweli. hakuna kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa wala kungija mtu akupe kisogo ndo uanze kung'ong'a.

Hapa ni uso kwa uso, njumu kwa ugoko mpaka kieleweke. Siwezi kubali watoto wangu waje umia na ujuha wa viongozi makunguni wanyonya damu za wanye kitanda utadhani tumelalia vitanda vyao na ushuru ni damu zetu.
 

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Messages
2,145
Likes
9
Points
135

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
Joined May 14, 2010
2,145 9 135
Hata kama sitapata ridhaa ya Chadema kuwania ubunge kwenye jimbo langu, nitafanya harakati kuhakikisha kuwa jimbo ninalotoka na lile ninaloishi hayatawaliwi na CCM. MUNGU nisaidie
 

We can

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Messages
681
Likes
5
Points
35

We can

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2010
681 5 35
mHUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU, Hatimaye methali zageuka kuwa matusi! Kuanzia sasa mimi naanza kumwuliza babu na bibi yangu maana ya methali kabla ya kuzitumia?!
 

Macos

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Messages
1,834
Likes
1,007
Points
280

Macos

JF-Expert Member
Joined May 12, 2008
1,834 1,007 280
Haya tutaona hapo mutapoingia ikulu namna mutavotukana watanzania ....muungu aepeshe mbali....
 

MzeePunch

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2009
Messages
1,412
Likes
21
Points
135

MzeePunch

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2009
1,412 21 135
Ile methali haikuwa na tatizo. Mie tatizo nililoliona ni pale huyo bwana aliposema ' Kikwete hakufunzwa na mama yake....' It was uncalled for. Angeishia kwenye hiyo methali watu wasingemlaumu. Lakini kumhusisha mama yake haikukaa vizuri. Kuna watu wengi wasiompenda Kikwete lakini hawakufurahia hili.
 

Forum statistics

Threads 1,204,913
Members 457,584
Posts 28,175,498