Je tanzania itaendelea kama viongozi wake karibu wote wana magonjwa sugu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je tanzania itaendelea kama viongozi wake karibu wote wana magonjwa sugu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Mar 27, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa nikifuatilia taarifa za viongozi wetu wa Tanzania tangu tiba ya babu kule Loliondo itokee na nimekuja kugundua yafuatayo:
  1. Viongozi wetu wengi wa serikali na chama tawala ni wagonjwa tena wa magonjwa sugu ndiyo maana hawana uchungu na nchi hii wanjuwa siku yeyeote hata leo wanaweza wakafa.
  2.Wengi wanajilimbikizia mali (ubadhirifu) kwa kuwa hawana tena future
  Kwa hiyo ndugu zangu taifa hili linahitaji mapinduzi makubwa kwa kuachana na hawa viongozi wagonjwa ambao kila kukicha wanafikiria afya zao zaidi kulko kuwatumikia wananchi waliowachagua,pia angalia orodha ya viongozi wa chama na serikali waliopata kile kikombe cha babu ni wengi mno na hiyo ni justification kwamba uongozi wa nchi hii una umwa na magonjwa sugu
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  tutajie tuwajue
   
 3. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Halafu utarajie watu wa namna hiyo wawe waadilifu! Mtu anayejiandaa kufa ataacha "kuweka mambo yake sawa" abaki kutumikia wananchi?
   
 4. L

  Lepapalongo Member

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Weka list basi ili tuchambue kiumakini zaidi............
   
 5. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Sio kweli, una uhakika gani? Ungeweka list ingependeza. Unasema umefanya utafiti, kuna utafiti ambao hauna data?
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  1. Jk 2. Lukuvi 3. Isdory Shrma 4. Lyatonga 5. Mahanga 6. Makamba 7. Rostam 8. Lowasa 9. Sophia Simba 10. ..
   
 7. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Huna haja ya kuwataja, wote waliokwenda kwa BABU wanajulikana! Kwenda kwa BABU haina maana ndio wamekuwa wagonjwa wa kufa kesho. Tangia hapo kila nafsi itaonja mauti si viongozi tu bali hata wengine wote zikafika siku zao wataondoka.

  Hivi hao mnaowaita viongozi walizaliwa viongozi? si wakiondoka wengine wanachukua nafasi zao na maisha yanasonga mbele?
   
Loading...