Chadema kuajiri wanajeshi nini maana yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuajiri wanajeshi nini maana yake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr.Mak, Mar 26, 2011.

 1. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
  Source: Gazeti la jana la Hoja
   
 2. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Naona pia umesahau kuwa watanzania wote ni walinzi na tena tulipitia JKT! Jambo la Pili ni muhimu pia ujiulize kampuni binafsi za walinzi zimeajiri akina nani na tena ujiuliza wakuu wa mikoa na wilaya ni akina nani, baada ya hapo nadhani utakuwa huna swali
   
 3. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mleta mada unahitimisha bila analysis. Binafsi nimefika pale kuulizia habari hiyo kama mwanamageuzi ninayeheshimu utawala wa kidemokrasia, hakuna kitu kama hicho, walichosema pale makao makuu ni kuwa MTI Wenye Matunda Mengi Utarushiwa Mawe sana. Huu ni uhuni wa CCM kuhamisha lengo la Chadema kama walivyosingizia visu kwa CUF (ccm b ya sasa) ili ionekanekane vinginevyo. Hapa naomba uwe unaleta point za maana zenye tija na uwe umefanya upembuzi la sivyo utaonekana kikagaragosi kinachotumika tu. Uhuni wote mtafanya na zile mbinu za kihuni za rusia lakini watu sasa sio wale wa 80's.
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Kwani wewe una wasiwasi gani? Mbona akina kinana wa ccm walikuwa wanajeshi? Je, hilo halikutii shaka isipokuwa kwa cdm tu? Kuwa mwelewa wa mambo hata wale viongozi wanastahili ulinzi. BTW mbona ccm wana green guard na huna hofu na hilo? A'm out
   
 5. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,971
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  kwan ni cdm ndo wa kwanza kutaka kuajiri walinzi waliopitia jeshini? Hebu peruzi vacancy nyingi za ulinzi uone qualifications tena wengine huspecify kabisa awe mstaafu wa JWTZ hizo hukuziona na wala hukutaka kuhoji wala kujua ni hatari au, kwa cdm imekuwa kosa 'kunya anye kuku akinya bata.......' kwa maoni yangu hata wale waliopata mafunzo ya mgambo au JKT ni askari na hizo ndio sifa kuu za kuajiriwa ulinzi huoni ka ni hatari? Tena wengine wanapewa na bunduki. acha ushabiki kama umeona hatari kwa usalama wa taifa letu ungeazia huko kwenye makampuni yanahitaji askari wastaafu
   
 6. haibreus

  haibreus JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 296
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Unaonekana ni mtu unaetaka umaarufu!!hoja yako haina kichwa wala miguu,kwani ulitaka nafasi za ulinzi wapewe kina nani??madereva?wapishi?waalimu?na bado CDM mtaipaisha nyie wenyewe na Makamba wenu!
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  tena chadema waongeze na hii kwneye tangazo lao" waliopitia mafunzo ya ukomandoo watepewa kipaumbele zaidi"
   
 8. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Kwa watu wazamani ambao kwa sasa most of them ni wazee au wapo kwenye age ambazo hawawezi kufanya kazi hizo tena ndio waliopita national Service na si watanzania wote, kwasentensi hiyo ninawasiswasi na utanzania wako.

  Pili umezungumzia kampuni za ulinzi, swali Chadema ni kampuni ya ulinzi? Unajua Bro siasa isikuoe kwa masikio yako ukalainika mpaka akili yako isifanye kazi yake. Kuna masuala ya kufanyia ushabiki na mambo mengine hayatakiwi kushabikiwa. Kwa majibu uliyotype kwa red bado hujajibu hoja kwani unajua kabisa chadema siyo kampuni ya ulinzi. kampuni za ulinzi zote zinatambulika na masheriti yake yako wazi.Kama wewe ni mtu mzima nawasiwasi na maengi juu yako. Tafuta gazeti la Hoja la jana ulisome kisha utoe hoja
   
 9. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180

  Kaka hapa mwandishi wa gazeti la Hoja hakuzungumzia kampuni za ulinzi, hapa anazungumzia chama cha siasa, ndio hoja mkuu. niambie chama gani cha siasa kimeshatangaza kuajiri wanajeshi. Haya siyo mambo ya kushabikia
   
 10. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Wee ndo uache ushabiki usio na mpango, hivi hao wanajeshi wastaafu walio ndani ya sisiemu ni by design au default? Huwajui?

  Afu unaambiwa watz wamepitia jeshi wasema waliopitia jeshi sasa ni wazee hawako ktk umri wa kufanya kazi,jkt kisheria ilifutwa lini kwa uelewa wako wee mtanzania halisi (sababu umemjibu mkuu hapo juu una wasiwasi na uraia wake)
   
 11. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Nadhani umaarufu huo utaanzia kwa aliyetangaza hizo nafasi, kisha kwako wewe unayeshabikia ujinga tatu kwa chombo kilicholipoti na mwisho kabisa na kwa wanauzalendo wa dhati.

  Kaka umehighlight sehemu tatu ila umeelezea moja kuonesha kuwa kumbukumbu yako haipo sawa. ungejibu mstari wa pili ningekuona wa maana katika kujibu hoja. halafu ungekuwa unajua nisivyompenda makamba hata usinge sema. Tatizo la washabiki wa chadema kila mnapokosolewa na wazalendo huwa mnawadhania kuwa niwanaCCM that is wrong? kama umeolewa na siasa ni wewe mkuu na pole sana.
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Gazeti gani?
  Hoja?

  Kama habari yako ni ya kweli basi kila anae ijua chadema anajua tangazo lisingekuwa kwenye gazeti hilo!

  Any way,we ulitaka watangaze walinzi wenye sifa zipi ili usistuke?
   
 13. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mimi sioni tatizo kwao kuajiri wanajeshi kama habari hii ni ya ukweli. Kwanza hao wanaoajiliwa ni watanzania wanaohitaji ajira ili maisha yao yawe mazuri.Tena cha muhimu tuwasifu CHADEMA maana wanasadia kuongeza ajira nchini.:lalala:
   
 14. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  pengine ni wa kutulindia mali zetu na viongozi wetu. taasisi yeyote ina uhuru wa kuwa na askari wake ambao wanakuwa kwenye payroll yake (auxillary). hawa hulipwa na taasisi husika na wako responsible na mali za taasisi husika tu na si vinginevyo. auxillary unit hii ni tofauti na kampuni binafsi za ulinzi ambao kuwa na bima inayolipa pale upotevu unapopotea.....

  walinzi hawa ni muhimu pia wawe makomandoo ili waweze kuwaokoa viongozi pale wanapotaka kuumizwa na kudhalilishwa. je unafahamu kuwa dr slaa aliokolewa na walinzi wake na kufichwa dhidi ya risasi zilizoelekezwa kwake alipokuwa akihutubia pale arusha?
   
 15. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa nini huzungumzii vijana wenu wa janja weed? Pili cdm kama chama wamepoteza imani na jeshi la polisi,rejea matukio ya arusha, kwa hiyo ni vyema nao wakawa na vijana wao wa ulinzi sawa kabisa na ccm walivyo na vijana wao wa janja weed.


   
 16. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35

  Nafikiri hao ndiyo wanafaa zaidi
   
 17. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Muda mwingine uwe unashirikisha ubongo kabla ujaandika,maswala ya kukurupuka sio mazuri.
   
 18. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi mböna ccm imeajili walinzi kibao nenda ofice za mikoa na wilaya utakutana nao. Pia nenda ofice ya ccm mkoa wa dar wameajiri usalama wa Taifa wapo pale, mbona hamsemi. Cdm nao wanamali zinazohitaji ulinzi kama taasis nyingine kama ccm inavyofanya. Nawasilisha.
   
 19. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  upopompo mtupu. Akili yako na Makamba hazina tofauti.
   
 20. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nimetoka kusikia tangazo la KK Security muda si mrefu.
  Wanaajiri walinzi ambao moja ya sifa ni kupitia jeshi ama mgambo.
   
Loading...