Hebu oneni aibu hii ya serikali, kudaiwa 3.1 trillion na PSPF ni aibu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu oneni aibu hii ya serikali, kudaiwa 3.1 trillion na PSPF ni aibu!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee wa Rula, Mar 26, 2011.

 1. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wana JF nimeshistushwa sana na taarifa kuwa serikali yetu inadaiwa 3.1 trillion na mfuko wa pension kwa watumishi wa umma. Swali langu kuu, hili deni ilikuwaje hadi likafikia kiwango kikubwa cha kutisha kiasi hicho? Mazingira ya deni hilo yasije kuwa ya kifisadi au kuchangia kampeni!
  Naombeni wana JF mchangie baada ya kusoma link hii PSPF yaidai Serikali Sh3 trilioni kwa habari hyo zaidi!
  Unadaiwa 3.1 trillion unasema umeanza kulipa 5.9bill tena nadhani ni baada ya kusikia kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), ipo mlangoni.
   
 2. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  MODS iunganisheni hii na thread nyengine kule Jamiiintelligence inarudia kitu kimoja.
   
 3. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni aibu sana serikali kuwalalamikia waajiri wengine kwa kutowakilisha michango ya wafanyakazi kwenye mifuko ya Hifadhi, kumbe yenyewe ndio kibaka hasa! Kwa maana hiyo mishahara ya wafanyakazi inapokatwa pesa ndo zinakwenda "DO- ONES" na kwenye ufisadi mwingine, AIBU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa taarifa nadhani MoDs watafanya hivyo lakini wadau wengine mnaweza kupitia thread hiyo kupitia link hii https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/121351-pspf-hatarini-kufa.html wakati napost nilipitia jukwaa la siasa sikuona kumbe ilikuwa jukwaa lingine la Jamii Intelligence.
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mifuko hii kumbe ipo kwa maslahi ya serikali! Katiba ya PSPF inasemaje kuhusu kukopesha fedha serikali na ikiwa ipo ceiling yake ni ipi? Nasikia harufu ya ufisadi kwa mbali hapa.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Acha serikali mbali, kwani si hadi watu binafsi wanajikopea tu huko?...ni nyie tu mnautaka umasikini mmeung;ang'ania kama urithi!
   
Loading...