Ya pinda na magufuli yameishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya pinda na magufuli yameishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by masingo sharili, Mar 26, 2011.

 1. m

  masingo sharili Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni hivi majuzi kulikuwa na fukuto ndani ya serikali kuhusu bomoa bomoa ya magufuli huku pinda akimpinga wazi wazi. Wanaharakati na wanazuoni wakamshauri magufuli ajiuzulu ili kulinda heshima yake. Hili limeishia wapi?
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Jamani sasa turudi kwenye mambo yetu ya msingi kama katiba mpya,Dowans,Umeme nk haya malumbano tuwaachie wenyewe.............
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Rubbish!
   
Loading...