Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

18 March 2011 By Sarah Limbrick Tanzanian media tycoon Reginald Mengi is suing British solicitor Sarah Hermitage at the High Court in London in a row over her website. According to details...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Wakuu salaam! Naomba msaada wandugu, nimeona picha ya ndege ya rais kwenye gazeti la the citizen la leo ambayo mhe. Mramba wakati akiwa waziri wa fedha alisema watz hata kama watakula nyasi lakini...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Nimesoma Citizen ya 1.4.11 kuhusu rufaa ya mgombea ubunge wa Tarime Mwita Waitara. Analalamika kuwa ametakiwa na mahakama kuu kuwasilisha TZS 12m/= ndani ya siku 14 sivyo kesi itafutwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inaonekana CHADEMA wamejipanga vema kukabiliana na mbinu chafu za CCM, ile turufu yao ya kusema CHADEMA ni chama kinachoongozwa na kanisa itakufa pale watakaposimamisha mgombea mwisilamu na kwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Aggrey Mwanri The government has said that dividing Dar es Salaam into three independent regions will not be possible because the three districts do not meet the criteria. Deputy Minister in...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Hivi karibuni kamati ya bunge ya nishati na madini imeunda kamati ndogo ya kuchunguza kiini cha uchakachuaji wa mafuta ya petroli. Kwa maoni yangu, hatua hiyo haikustahili, kwani kuna vyombo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naona ana-summarize maagizo aliyoyatoa kwenye ziara zake katika wizara mbalimbali. Sasa sijui anafikiri tumesahau aliyoyaagiza, au hakuwa na la kusema leo. Mimi sijui naona hata yeye hajui. Maana...
1 Reactions
95 Replies
10K Views
Written by administrator // 31/03/2011 Na Dkt. Harith Ghassany Leo nawaletea baadhi ya nakala za barua asilia kutoka nyaraka za Umoja wa Mataifa (UN), zenye kuthibitisha mtiririko wa kuwepo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
As the public electricity power supply utility, TANESCO struggles with bail-out plans in order to avoid major power shedding expected to hit the nation by September this year, fresh details have...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimeamua kuhama chanel sikutegemea chombo cha umma kikawa na ufedhuri na kumpuuza mtz kiasi hiki! Licha ya kongamano lenye kila sura ya kuamsha hasira ya mnyonge juu ya ubambucha wa chama cha ccm...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MUNGU NDANI YA KATIBA YA WATANZANIA HONGERA JUDGE SAMATA My hope sasa Mungu anajibu kupitia wazee wachache wenye BUSARA, kama Judge Samata.Nilikua napata shida sana ni jinsi gani MUNGU...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sat Apr 2, 2011 12:53pm GMT DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania has invited bids for construction of emergency power plants to supply a total of 260 megawatts (MW) to ease...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kadri nilivyowasikia wawakilishi wa hivyo vyama vikuu vya upinzani inanipa hamasa kuwa kuna siku suala la katiba mpya kuwaunganisha who knows. Mtatiro wa CUF- ikibidi kuchimbika patachimbika...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,James Mbatia,amesema katiba iliyo andaliwa na serikali inayotarajiwa kufikishwa bungeni kwa ajili ya kujadiliwa imenakiliwa kutoka katiba ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kuna kipengele katika muswada wa uundwaji wa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya kwamba ni kosa la jinai kuhoji au kupinga au kukebehi maoni/maamuzi ya tume. Imekaaje hii?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wimbi la mparanganyiko wa ccm linazidi kushika kasi kila kukicha,baada ya mtoto wa mkulima kuwataka viongozi wastaafu kutumia vikao kueleza mawazo yao.Agizo hilo limepuuziwa baada ya mmoja wa...
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Jamani wana JF, mchakato wa katiba mpya unategemea kupelekwa bungeni katika kikao kijacho cha bunge kwa mujibu wa taarifa ya mwisho wa mwezi wa March ya Mheshimiwa raisi lakini inakuaje yale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Kikwete kuvuliwa uenyekiti wa CCM • Wajumbe wakamiana NEC Aprili 9, Dodoma na Mwandishi wetu WAKATI mambo yakizidi kwenda mrama ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), mkakati unasukwa kutaka...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Tuesday, 29 March 2011 Mwandishi Wetu MUSWADA maalumu wa kuunda Tume ya kukusanya maoni na kupendekeza muundo wa Katiba mpya ya Tanzania, unatarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Aprili...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
April 1st, 2011 Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amesema kuwa bajeti ya bunge imeongezeka kwa mwaka wa fedha 2009/2010 na kufikia Zaidi ya tsh. Bilioni 70 kulinganisha na ile ya mwaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom