Kuna kila dalili CDM, CUF na NCCR kuungana kuhusu Katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna kila dalili CDM, CUF na NCCR kuungana kuhusu Katiba

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Luteni, Apr 2, 2011.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa kadri nilivyowasikia wawakilishi wa hivyo vyama vikuu vya upinzani inanipa hamasa kuwa kuna siku suala la katiba mpya kuwaunganisha who knows.

  Mtatiro wa CUF- ikibidi kuchimbika patachimbika
  Marando wa CDM- wananchi tuukatae huu muswada kabla haujawa sheria
  Mvungi wa NCCR- nimeongea na Slaa tuone uwezekano wa kuupinga huu muswada
  Mbowe wa CDM- kama bunge litaupitisha kama ulivyo tutarudi kwa wananchi

  Kwa haya machache inaonyesha kabisa uwezekano wa hivi vyama kuwa na sauti moja huko mbeleni.
   
 2. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180

  Sawa mkuu lakini wakati huo Mrema wa NCCR Atakuwa wapi? na Mbatia wa NCCR naye atakuwa amelala?
   
 3. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kuna wakati hata ma-opportunist huwa wanaona aibu, kwa suala hili wanaweza kujiaibisha milele na kizazi kijacho kikaja wahukumu.
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,062
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  hoja za msingi ndo zitatuunganisha sote .sauti ya wengi..mwenye hira ndo atapinga
   
Loading...