Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu Jaji fredrick werema, Anazungumzia kuhusu Sheria ya Marejee ya katiba, kifupi anautetea mshwaada!washa tv angalia!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Written by Mrfroasty (Ufundi) | 25/04/2011 Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu – Magogoni, Dar es Salaam Tanzaania. Kwako Mheshimiwa Rais, YAH...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
*Kijana UVCCM awarushia tuhuma nzito *Awapa siku 21 watuhumiwa wang’oke Na Mwandishi Wetu - Mtanzania MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Siku za mapumziko rasmi Tanzania ni mzigo kiuchumi kwa vile siku hizo zimeakisiwa kisiasa zaidi kuliko kiuchumi. Madhara yake kiuchumi ni makubwa kwa nchi inayohangaikia kujikwamua ili kukuza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Today, we are asking this question after last week’s revelation that the India-based firm, Rites, is demanding a total of Sh177 billion as the cost of ending the deal it sealed with the Tanzanian...
0 Reactions
105 Replies
9K Views
Akiwa ziarani rais wa JMT alikiri kutojua chanzo cha umasikini,,akajibu hivi Hata mimi sijui sababu,huwa najiuliza kila siku swali hilo lakini sijapata jibu,mwisho wa kunukuu Leo namwuliza JK ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nikiangalia madudu yanayofanywa na serikali ya JK miaka 50 baada ya kile kinachoitwa uhuru ndani ya nchi inayodaiwa kuwa ni kisiwa cha amani huku wananchi wake wakiogelea kwenye lindi la ufukara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CCM imeibuka na Msemo mpya 'Kijivua Gamba!' Kila mwanchama wa CCM anaimba huo wimbo hadi Rais ambaye ndie M/kiti wa CCM pia anaimba huo wimbo, chorus inasema 'tumewapa siku 90 Mafisadi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Awali ya yote naomba niseme kwamba siweki hili bandiko kwa lengo la kuwatetea mafisadi, bali ninajaribu kufikiria nje ya sanduku kwa mapana na marefu ili kuona hila ya CCM katika kughilibu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Speech hii alihitoa tarehe 16 October 1970,Nchini Marekani katika Jiji la New York. Ikitolewa leo kwenye umma wa watanzania wote wakapewa tafsiri yake hakika watanzania walikua na bahati ya kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kile kiini macho anachokihubiri JK cha kujivua Gamba akiwataja mapacha watatu wakati yeye akijiweka pembeni, natamani nikione mapema kwani kujivua kwao kutaleta mpasuko mkubwa ambao haujawahi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Amtaja tena katika ufisadi Avuruga mkakati wa “gamba” TUHUMA za ufisadi ambazo Dk. Willibrod Slaa amemshushia Rais Jakaya Kikwete, zimezima mbwembwe na majigambo ya “mapambano dhidi ya...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni nchi zipi duniani zimefanikiwa kutokomeza ufisadi? Kwa Tanzania mtu akiiba au kujipatia utajiri wa haraka, ndio anaitwa fisadi, je hawa ambao hawatekelezi majukumu yao ipasavyo tunawaweka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
By BILHAM KIMATI, 21st April 2011 @ 13:03, THE Legal and Human Rights Centre (LHRC) has singled out use of 'abusive language' and poor attendance as some of the glaring shortcomings that tainted...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WikiLeaks cables: Tanzania official investigating BAE 'fears for his life' Prosecutor Edward Hoseah voiced safety fears over inquiry into 'dirty deal' involving sale of radar system to government...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Iringa Mjini, saa kumi na mbili na nusu jioni. Ni Jumapili. Ni Sikukuu ya Pasaka. Ona bucha hiyo ya nyama, ' Executive Butcher'. Mwone mama huyo mwenye haraka. Mwingine angedhani, kuwa siku...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hii ni hatari! Wanachuo hawa wanatoa wapi pesa za kuchukulia fomu? Wanatumia mikopo ya board(maana ndiyo chanzo chao kikuu cha mapato), wanalipiwa na wazazi? (inakuwaje kwa walala hoi?)...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoani Kilimanjaro umetishia kumfikisha mahakamani Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilayani Moshi, Paul Makonda kwa madai ya kutumia jina la jumuiya hiyo kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
..kwa kweli inachanganya mwenyekiti wa chama kinachofuata itikadi ya UJAMAA na KuJITEGEMEA anapotoa kauli kama hizi. ..hivi inawezekana tukawa na chama tawala cha kijamaa lakini serikali yake...
1 Reactions
220 Replies
17K Views
Habari ya mtanzania aliyemwagiwa petroli mbagala na kufariki baadaye, ilikuwepo kwenye mtandao huu, je imepotea au imepotezwa? Inahusu wale wadekezwaji
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…