Gharama ya kuwa kiongozi "college of business education" (cbe) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama ya kuwa kiongozi "college of business education" (cbe)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bakayoko, Apr 25, 2011.

 1. b

  bakayoko Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hii ni hatari!
  Wanachuo hawa wanatoa wapi pesa za kuchukulia fomu?
  Wanatumia mikopo ya board(maana ndiyo chanzo chao kikuu cha mapato),
  wanalipiwa na wazazi? (inakuwaje kwa walala hoi?)
  uongozi wa chuo hiki sasa ni kwa wateule tu, wenye uwezo kifedha!
   

  Attached Files:

Loading...