Hivi tanzania haikuwa na mgombea bora zaidi ya jk mwaka 2005? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi tanzania haikuwa na mgombea bora zaidi ya jk mwaka 2005?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwananchit, Apr 25, 2011.

 1. m

  mwananchit Senior Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Nikiangalia madudu yanayofanywa na serikali ya JK miaka 50 baada ya kile kinachoitwa uhuru ndani ya nchi inayodaiwa kuwa ni kisiwa cha amani huku wananchi wake wakiogelea kwenye lindi la ufukara uliopindukia, nashindwa kujizuia kujiuliza kama kweli JK alikuwa ndiye chaguo sahihi la watanzania (au mtandao?) ukilinganisha na wanasiasa wengine waliojitokeza kugombea urais mwaka 2005kama vile SALIM, MWANDOSYA, SUMAYE, TINGATINGA nk . Hivi kweli tulipokuwa tunashangilia kumwondoa mkoloni kwenye ardhi ya Tanganyika tulikuwa tunajua kwamba siku moja tutakuja kumkabidhi nchi hii ****** kwa ahadi hewa za kuletewa maisha bora? HEBU NDUGU ZANGU WATANZANIA TUJADILI.
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Nadhani mzee Salim alistahili tangu 1984 alipoombwa na Baba wa Taifa kushika wadhifa huo japo hakuweza kuridhia
   
 3. koo

  koo JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jaman nawasih tena kuwen makin msije kudanganyika kumpa urais mtu yeyote wa ccm hata awe jembe vp hata mudu kuzikabir hz changamoto kwanza atakua anabanwa na chama akitaka kushughulikia mafsadi ataambiwa anaua chama ccm nisumu hakuna waku2faa kumbuken mh sitta alivyo 2lizwa,angalia nape kwenye sakata la jengo la uvccm.
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nadhani Uchakachuaji ulitawala ktk Mchakato!
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nadhani Uchakachuaji ulitawala ktk Mchakato 2005! Mgombea akaletwa ful sanaa!
   
Loading...