Hotuba ya Baba Wa Taifa New York Kati Maskini na Matajiri [Rebellion Movement] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya Baba Wa Taifa New York Kati Maskini na Matajiri [Rebellion Movement]

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DSN, Apr 25, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145

  Speech hii alihitoa tarehe 16 October 1970
  ,Nchini Marekani katika Jiji la New York.

  Ikitolewa leo kwenye umma wa watanzania wote wakapewa tafsiri yake hakika watanzania walikua na bahati ya kuwa mzee aliyekua na maono makubwa [vision].

  "Umaskini sio tatizo kubwa sana katika ulimwengu huu wa sasa,kwa kuwa tuna elimu [knowledge] na Maliasili [Resourece] katika kupambana na tatizo hilo la umaskini.
  Tatizo kubwa hasa la sasa linaloleta machafuko,majanga,vita na chuki kati yetu sisi kwa sisi ni mgawanyiko kimapato kati ya matajiri na maskini,wasionacho dhidi ya walionacho."

  "The real problem-the thing which creates misery,wars and hatred among men-is the division of mankind into rich and poor. We can see this division at two levels.Within nation states there are few individuals who have great wealth and whose wealth gives them great power;but the vast majority of the people suffer from varying degrees of poverty and deprivation.................................................

  The significant thing about the division between rich and poor nations is not simply that one has the resources to provide confort for all its citizens,and the other cannot provide basic services.The reality and depth of the problem arises because the man who is rich has the power over the lives of those who are poor,and the rch nation has power over the policies of those which are not rich.....................

  And, even more important,is that our social and economic system,nationally and internationally,supports these divisions and constantly increases them,so that the rich get ever richer and more powerful,while the poor get relatively poorer and less able to control their own future.
  ......................................................................................................................

  Both nationally and internationally this division of mankind into the tiny minority of rich,and the great majority of poor,is rapidly becoming intolerable to the majority-as it should be.The poor nations and the poor peoples of the world are already in rebellion against it; if they do not succed in securing change which leads towards greater justice and then that rebellion will become an explosion.

  In justice and peace are in the long run incompatible; stability in a changing world must mean ordered change towards justice,and not mechanical respect for the status quo.

  [Status quo is the state of affairs that exists at a particular time, especially in contrast to a different possible state of affairs.]

  It is in this context that development has been calle another name for peace.It is this context which gives urgency to your deliberations on participation in the development of the peoples."

  Hotuba hii inazidi umri lakini ukisikia naona ni maisha yangu mwenyewe leo hii.kumbe ni maono ya Baba wa Taifa miaka hiyo.Tunisia, Misri,Yemen, Libya wangeambiwa kuna mwanadamu chini ya dunia hii alishayaona hayo na alikua na majibu yake.Kumbe ndio maana hata mwalimu alikua ampendi Ghadafi, alimuona katika picha hii ya utajiri kupindukia chini ya maskini kibao.

  Viongozi wa Tanzania kama hotuba kama hizi amkusoma na kufanyia kazi.Kazi mnayo 'Nabii mlikua naye nyumbani'mlipuuzia hata yale mema aliyowaachia tena akayaweka kwenye vitabu ili msisema hakuwapa wosia.Kazi kwenu majibu ya wosia ndio hayo yameaanza kujibu kitaeleweka [Tizameni Yemen, Libya, Misri na Rebellion Movement].
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  It does not take rocket science to know that the oppressed eventually get tired and push back. We have seen in both the cases of Tunisia and Egypt, the leaders trying to give concessions to the people which were too little too later. It is also a basic principle of survival that in order to continue surviving one must change and adopt to different environments rather quickly. The political environment has change and if the protectors of the status quo are to survive they have no choice but to change with the times.
   
 3. Rugambwa31

  Rugambwa31 JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tanzania hatuitaji mtuu mwenye phd kupambanua yaliyokuwa yanasemwa na mwalimu. Hila naimani kwamba tz mpya inakuja tu, najua tutachelewa lakini taratibu ndomwendo. Hacha watz wapate kwanza ukweli kwamba maisha sio ushabiki wa siasa na vyama vyake bali ni kupambana kwaajili ya kila raia na sio familia chache ambazo ndio chanzo cha maisha magumu mno.

  Tupo pamoja na tz mpya inakuja labda wakimbie, watake wasitake tunaitaji kunufaika na maliasili zetu na sio watukupeana 10% tuu.
   
 4. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Zidumu fikra za Mwenyekiti
   
 5. s

  shilla salesi New Member

  #5
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  was real genius
   
 6. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mwalimu kilikuwa kifaa siyo mchezo. Kiongozi wetu wa sasa anachojua ni kuimba taarabu tu.
   
Loading...