Ni nchi zipi duniani zimefanikiwa kutokomeza ufisadi?
Kwa Tanzania mtu akiiba au kujipatia utajiri wa haraka, ndio anaitwa fisadi, je hawa ambao hawatekelezi majukumu yao ipasavyo tunawaweka wapi?
Tunao viongozi mfano wa Pinda ambaye sijasikia akisemwa kuwa kajitajirisha wala kujikusanyia utajiri, lakini ni mgumu sana kuchukua maamuzi na hatua kwa wale wanaoshindwa kuwajibika, kwa namna hii yeye mwenyewe tunamchukuliaje?