Makonda wa Uvccm avuliwa madaraka yy asema hatoki mtu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makonda wa Uvccm avuliwa madaraka yy asema hatoki mtu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quinine, Apr 25, 2011.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,981
  Trophy Points: 280
  Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoani Kilimanjaro umetishia kumfikisha mahakamani Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilayani Moshi, Paul Makonda kwa madai ya kutumia jina la jumuiya hiyo kwa maslahi binafsi.

  Akisoma tamko la Baraza Kuu la UVCCM Mkoa, Katibu wa UVCCM Moshi Mjini, Jumanne Kitundu, alisema "Makonda alifukuzwa uongozi wa jumuiya hiyo kutokana na utovu wa nidhamu na kupungukiwa kwa sifa za kimaadili baada ya kujiunga na chama kingine cha siasa”.

  Akizungumzia madai hayo, Makonda alisema yeye bado ni mwanachama halali wa CCM na jumuiya hiyo na bado ana cheo hicho na kama angefukuzwa alipaswa kupewa onyo, karipio kali, kusimamishwa na baadaye kufukuzwa jambo ambalo halijafanyika.

  Lakini pia ameitaka jumuiya kujibu hoja zake za msingi ikiwemo kutumiwa na wanasiasa.

  Source: HabariLeo
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mbombo ngafu wajameni! Bado kibaha na mwanza
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  This is all a circus for nothing. Ina kuaje ngumu kuthibitisha mtu ni mwanachama au si mwanachama?
   
 4. P

  Pax JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sidhani ka wanatusaidia lolote hawa, ni walewale tu, matumbombele. Nchi inahitaji ukombozi, tusipotezwe na hawa vijana zao la ufisadi
   
 5. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  CCM kwisheni kabisa
   
 6. G

  Godwine JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kama wamemfukuza uanachama basi waweke wazi taratibu walizofuata kabla ya kumfukuza ili iwe wazi kwa wanachama wote na wananchi kuwa nini kilitokea. pia ni wakati wa Makonda kufikiri nini atakipata akiwa CCM na nini anachoweza kufanya akiwa nje ya CCM pamoja na wenzake wenye msimamo kama wake kwani kiongozi mkubwa kama huyu lazima awe na watu wenye falsafa kama yake ambao watakuwa tayari kufa naye
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,981
  Trophy Points: 280
  Cha ajabu kwanini iwe leo baada ya kuwatuhumu kuwa wanatumiwa? kama hizo siyo siasa za majungu ni nini.
   
 8. THE GAME

  THE GAME JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  yupo right bw Makonda,kwa kukemea yale anayoona hayafai.
   
 9. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Achaneni na wafu, maana wache wafu wazike wafu wenzao-CDM lete mkakati wa kuimarisha chama vijini. Naona kichefu chefu nikisikia ya ccm-ni uchafu mtupu-makundi + ufisadi=umasikini usiokwisha wa watanzania (milele)
   
Loading...