Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Kadri siku zinavykwenda naona dalili zote za CCM kuanguka. Hakuna atakayeweza kuiokoa chama hiki kongwe. Naona anguko hilo litatokea ndani ya miaka kumi na tano (15). Watakaokingusha CCM ni wana...
12 Reactions
282 Replies
14K Views
Mbunge wa Segerea (CCM), jijini Dar es Salaam Dk. Makongoro Mahanga, amesema bado CCM haijajivua gamba na ameitahadharisha kuwa isipojisafisha na tope la rushwa na ufisadi kama ilivyoagizwa na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Uchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari. Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
0 Reactions
100 Replies
11K Views
Hivi kwenye jukwaa la siasa ni kuzungumzia muda mwingi CCM,CHD na Kupakana matope kwa vyama hivyo,ina maana hoja za msingi kama KATIBA zimesahaulika? Nawasilisha.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
WanaJF mambo yanavyoenda hapa TZ hawa watu wawili ndo wanasababisha maafa kila sehemu Arusha wapo, Dowans wapo, EPA wamekula Kagoda etc Kama hawa watu na wengine hawatowajibishwa KIKWETE...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Atatoa ufafanuzi wa mambo kadhaa kama itakavyoonekana kwenye 1st post kwenye hii topic. Nitawa-update juu ya kinachoendelea kwenye kikao hicho. ============ UPDATES: Kikao ndo kinaanza...
5 Reactions
80 Replies
10K Views
Tangu Mkama aseme CCM hawakutoa azimio la siku 90 na kwamba hakuna fisadi hata mmoja atakayepewa barua sijasikia tena Nape akiongea. Lakini namwona huyu Mzee Mkama naye mnafiki mbona alikuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana jf baada ya ujenzi wa vyoo shule Suye kujengwa kwa 80,000,000/- kuna tetesi kwamba kuna daraja balo leshindwa kufunguliwa kutokana na mgogoro wa ujenzi wake kutumia sh. 300,000,000/- Hilo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna ushahidi uliowazi kuwa ccm haiko tayari kuja na katiba mpya. Yanayojiri sasa ni danganya toto. Nasema hivyo kwa kutumia uzoefu wangu unaotokana na mambo yafuatayo: 1. CCM imejitahidi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Imeandikwa na Halima Mlacha; Tarehe: 4th May 2011 JAJI Mkuu mstaafu, Augustine Ramadhani , amelitaka Baraza la Habari Tanzania (MCT) na wadau wote wa habari nchini kukusanya nguvu zao na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Ubunifu wa mtu ni siraha yake,ubunifu wa mtu usichezewe,ni lazima uheshimiwe,utunzwe na ulindwe" Grayson, 2011. Hizi ni baadhi ya senteso zangu nyingi zitakazopatika katika kijitabu changu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipindi cha mapitio cha magazeti kinachorushwa na kituo cha ITV asubuhi hakina mvuto kabisa na bora kisitishwe kwa ajili ya marekebisho. Kwanza kabisa magazeti wanayopitia ni machache sana...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
"WANAKOSEA KWA KUKOSEA KWETU,TUJISAHIHISHE KWANZA,ILI NA WAO WASAHIHIKE KWA USAHIHI WETU". Grayson, 2011.
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Ukitazama historia ya nchi nyingi za afrika wakati wa kupigania uhuru toka kwa wakoloni utagundua kuwa japo ilikuwa lazima mwafrika awe huru lakini wapigania uhuru hawakuwa na mipango madhubuti...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
HUKU MWANAKIJIJI, KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa. Gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kupambana na mafisadi linakuwa mstari...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
ndugu zangu ktk jambo ninaloshukuru ktk maisha yangu ni kutokuwahi kuwa CCM, siko zote ktk kipindi hiki kifupi nichobakisha ktk maisha YANGU namuomba Mungu anipe umri nitakaoweza kushuhudia...
0 Reactions
171 Replies
13K Views
Kumekuwa na tetesi nyingi sana kwamba baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya wamekuwa miungu watu katika mikoa na wilaya zao kiasi kwamba wakati mwingine wamekuwa wanawalazimisha watendaji wao kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HomeNewsNational National Dr Besigye’s aides were yesterday sent back to jail until May 9 when their bail application will be heard. PHOTO BY STEPHEN WANDERA By Sheila Naturinda...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Source: Mwananchi Inasikitisha sana kuwa na serikali isiyokuwa na nidhamu ya matumizi ya hela. Serikali au taasisi makini huwa inakuwa na budget na kuifuata bila kuongeza kitu. Sasa hapa kwetu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1 May Posted May 1, 2011 by Wolfgang's East Africa and Indian Ocean Tourism reports WITH POACHING IT IS FOREIGNERS TOO ‘Foreigners’ seems to be one of the key word these days in Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…