Nini kinachofanya JK asiteuwe RC mpaka leo??

Nini kinachofanya JK asiteuwe RC mpaka leo??

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,360
Reaction score
2,389
Uchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.

Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
 
tanzanite+1.jpg
 
Nasikia huku mlingotini ni balaa,mjerumani alijaribu bila mafanikio kukata minazi(milingoti) ili aweke barabara ilishindikana kabisa.mnazi ukikatwa mchana unaota usiku!
akapige ramli mlingotini??
 
Inashangaza,wakati ilikuwa inategemewa atangaze Disemba katikati ivi...au labda 'wanavutana' na Rostam na Lowassa; au listi ya fadhila imekua kubwa?
 
Inashangaza,wakati ilikuwa inategemewa atangaze Disemba katikati ivi...au labda 'wanavutana' na Rostam na Lowassa; au listi ya fadhila imekua kubwa?

inamuumiza kichwa wakina batilda,masha na akina diallo awaweke mikoa gani
 
baraza la mawaziri lenyewe halija kaa sawa mpaka anaogopa kuitisha vikao vya baraza kujadili mambo muhimu ya taifa, ngoja zege likauke kwenye baraza la mawaziri ndio apandishe matofali, ama sivyo nyumba itaanguka.
 
Uchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
Good question...

Hii ni ishara tosha kwamba we dont have a accountable leader, na kibaya zaidi kwake yeye wakati sio mali na wala sio ukuta!!! delays may mean less to such a leader and such kind of people are excellent in missing deadlines
 
Wakuu hapo ni kuwa serikali haiko imara mpaka sasa haijui ichukue njia ipi kuliongoza taifa ni wamechanganyikiwa kwani wananchi wamekuwa na wigo mkubwa sana katika sector nyingi sasa ukiongea pumba wanakuambia hapo umeurowanya,

Me naweza sema nchi iko kwenye turmoil kwani kama wananchi hawawezi kuelewa kabisa mwelekeo wa nchi yao na kiongozi wao wa nchi hawezi toa maamuzi juu ya jambo linalo wakera wananchi kama umeme maji gas kwa ujumla uchumi umekuwa mgumusana haulingani na maisha tunayo ishi kabisa hayo yote ni kuwa serikali ya JK haiwezi kujipanga au imeshindwa
 
One can not stamp his authority without making decisions... Unfortunately JK hasnt done that

cha maana tu ni kusikitikia nchi kwani serikali iliyo madarakani imekua kama mnara wa babeli
 
Ni hivi jk bado dhambi ya uchakachuaji inamuandama,na nafsi inamsuta,,lakini pia anafikiri akichelewa joto la kisiasa litapoa ili aweze kufanya uteuzi wa kishemeji,anajidanganya wananchi hatudanganyiki tena akifanya ujinga uzi ni ule ule,,,mapambano yanaendelea............
 
Mimi sielewi kwani ni lazima baada ya uchaguzi wakuu wa mikoa wabadilishwe? Nilidhani anatakiwa ku replace mikoa iliyo wazi kama Manyara, Dar na mengine kama ipo
 
The gov is no sooner going to collapse.
I bet wait and see it.
A house divided against itself can not stand
 
unataka ma-RC ili iwe nini?? kuna jema mnatarajia kutoka CCM au kwa ma-RC??
 
kwani ni lazima iwe haraka kiasi hivyo?

katiba mbofu ndio haina haraka
...kuna mambo mengi yanakwama kwa kukosekana watendaji hao,hata baadhi ya vikao wao ni wajumbe ama wenyeviti wa kamati husika,vitafanywa na nani mkuu??
 
Tatizo ni kuwa wadau wake waliopo benchi ni wengi kuliko vinafasi ya rc na ubunge wa kuteuliwa + ubalozi wa sudan kusini.
 
Wakuu wote wa mikoa ambao waliomba likizo ya kugombea ubunge wako kijiwenii....hadi sasa...mbega,abdul aziz na lukuvi nafasi zao hazijazibwa hata....alikuwa anasubiria ma meya wapatikane....kwanza ndio apachike hao wachumba zake ukuu wilaya na ukuu mikoa!!
 
Back
Top Bottom