CCM na CHADEMA + kupakana matope- Tumesahau Katiba Mpya

ngwini

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
482
89
Hivi kwenye jukwaa la siasa ni kuzungumzia muda mwingi CCM,CHD na Kupakana matope kwa vyama hivyo,ina maana hoja za msingi kama KATIBA zimesahaulika? Nawasilisha.
 
Hapana hazijasahaulika ndiyo maana hata wewe umegusia kidogo hapa suala la katiba
 
CCM Wameuza Tanganyika yetu, Tutazungumzaje katiba bila Tanganyika. Tanganyika ndio platform yetu. Wao CCM wameshajipaka matope mpaka yakawa Gamba. Sisi tunachapia chipping wawe na mkwaruzo, Gamba limegoma kutoka.:evil:
 
Mkuu naona mapambano ya katiba mpya yamekuwa kimya na sasa ni kujivua gamba kwa CCM na ununuzi wa magari chakavu ya CDM,kwa hiyo napata wacwac na hali ya baadae ya nchi mbna katiba ndo ubongo wa nchi.
 
Unajua hapa janvini panya kungura wameingia. Hakuna cha maana kinachojadiliwa hapa siku hizi. Baada ya wale wanachama wa Magamba kusikia kwamba JF inatumika kupaka matope chama chao basi wakaingia kwa nguvu zote sasa hakuna cha maana kinachofanyika hapa. Nimechukia sana na nasikitiswa sana na upuuzi unaoendelea hapa. baada ya mda si mrefu nitaiacha JF maana hakuna ninachogain siku hizi.
Ila naomba moderators watoe thread zinazofuka hapa. Kwa maana wanachama wengi wa chama cha Mangamba hukiri kwamba wao ni serikali na wanaitetea hata kama imefanya madudu. Naamini hii itawagharimu zaidi.
 
CCM Wameuza Tanganyika yetu, Tutazungumzaje katiba bila Tanganyika. Tanganyika ndio platform yetu. Wao CCM wameshajipaka matope mpaka yakawa Gamba. Sisi tunachapia chipping wawe na mkwaruzo, Gamba limegoma kutoka.:evil:

kwa hiyo mkuu unataka serikali ya Tanganyika na kuvunja muungano? Au unataka serikali 3?
 
Unajua hapa janvini panya kungura wameingia. Hakuna cha maana kinachojadiliwa hapa siku hizi. Baada ya wale wanachama wa Magamba kusikia kwamba JF inatumika kupaka matope chama chao basi wakaingia kwa nguvu zote sasa hakuna cha maana kinachofanyika hapa. Nimechukia sana na nasikitiswa sana na upuuzi unaoendelea hapa. baada ya mda si mrefu nitaiacha JF maana hakuna ninachogain siku hizi.
Ila naomba moderators watoe thread zinazofuka hapa. Kwa maana wanachama wengi wa chama cha Mangamba hukiri kwamba wao ni serikali na wanaitetea hata kama imefanya madudu. Naamini hii itawagharimu zaidi.

Mkuu nakubaliana na wewe maana juna pande moja imekuja kwa kasi na kuongea pumba hili tu kuwatetea mafisadi na magamba yao.
 
kwa hiyo mkuu unataka serikali ya Tanganyika na kuvunja muungano? Au unataka serikali 3?

Hukuna mtu anayechukia muungano, ila kwanini zanzabari ipo na Tanganyika imeondolewa. Tutaanzia wapi kuzungumzia katiba. Mimi ningependa serikali tatu au moja, lakini sio mimi ndie mwamuzi bali wana wa nchi.:israel:
 
Itakuwa vizuri kama katiba iandaliwe kwa ku2mia maoni ya wananchi na si kunufaisha tabaka la wachache lenye kutoka kutimiza matakwa yao...na kuhusu Tanganyika wananchi wapige kura ya maoni.
 
Kwa ujumla Mimi sioni faida ya Muungano, na nimekuwa nafuatilia mazungumzo ya viongozi mbalimbali wanapo ulizwa wataje faida ya Muungano kwa miaka 50. Kwanza wanakimbilia kusema "zipo nyingi tu" nategemea wataanza kuporomosha moja baada ya nyingine kama tano mpaka kumi hivi. Cha ajabu waataishia kusema "tumeoleana, wapemba wanafanyabiashara Bara!" basi wanaishia hapo!

Najiuliza hizo ndo nyingi? Na ndiyo sababu kuu za Muungano?

Mimi sioni faida za Muungano!
 
Duh kwa hakika Muungano upo ICU na kwa jinsi kizazi cha sasa kinavyokwenda na wakati..cdhani kama MUUNGANO utafikisha miaka kumi na tano.
 
Tunataka ccm wajivue hayo magamba waliyoyakiri kwamba wanayo kitu ambacho sidhani kama wanakiweza manake magamba waliyo ni nayo yanatisha na hayavuliki kirahisi ni tishio na magamba ni wao wenyewe mpaka dr slaa atinge ikulu ndio yatavuka..
 
CCM kama chama tawala kimeshindwa kuwatosa mafisadi maana pesa walizoiba ndio zilizowaweka madarakani,so wataweza kujifukuza?
 
Back
Top Bottom