Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nashindwa kujua lengo la Big Brother hasa ni nini....embu tizama hii clip then tujuzane mantiki yake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana waziri wa fedha Mkullo alisikika akikanusha madai yaliyotolewa na mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe, aliyeelezea ya kwamba waziri alitoa bajeti hewa. Pamoja na kauli yake hiyo, bado naungana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wote nccr wa cdm wengine wamebaniwa angalia sahv itv anataja majina ya wachangiajai badala ya watu kuonyesha mikono,jamaa ananiambia wapo nyuma "tumeandika ya kwetu watu 9 hakuna atamoja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau mjadala kuchambua bajeti unaendelea itv live msemaji mkuu akiwa James Mbatia, pia namuona pro Lipumba
0 Reactions
33 Replies
3K Views
kuondolewa kwa posho za wabunge kuna impact gani kwa taifa letu?
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Habari wana jf ninaye mjomba wangu mjeda kikosi cha navy nilikuwa sijaonana naye tangu uchaguzi uishe. Basi nilianza kumuuoiza kuhusu siasa wao kama wajeda wanamsimamo gani na hali ilivyo sasa...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Kwa kazi kubwa waliyomfanyia kuiba kura na kuchakachua matokeo ya uchaguzi 2010. Ama kweli kuna kazi kuitoa CCM madarakani kama mambo ndo haya. soc: ITV news bullet
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya chadema kuwa chama kikuu cha upinzani, nilitegemea kuwa ingeanzsiha mara moja utoaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa wananchi ikiwa na lengo la kuwafanya wananchi kutambua na kuelewa kwa...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Kutoshabikia kabisa falsafa ya kuvua Gamba. Mshabiki mzuri wa siasa hasa wa sera za CHADEMA na viongozi wake.:kev: Msomaji wa Gazeti la MwanaHalisi, Raia mwema, Mwanachi,Nipashe na TZ daima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba wadau mnisaidie hili, hivi tume ya taifa ya uchaguzi inateuliwa na nani na inawajibika kwa nani? jana kwenye taarifa ya habari niliona tume ya uchaguzi ikikabidhi ripoti ya uchaguzi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana atoa tamko kuusu maandamano asema kuwa wao wanadamana kwa nama yoyote kwakua polisi wametoa sababu mbazo azina msingi. kova asema '''tumekataa maadamano kwakuwa tuna ugeni wa kitaifa kwaiyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Gumzo la Wiki Na Saed Kubenea - Imechapwa 08 June 2011 CHAMA cha Wananchi (CUF) chaweza sasa kuwa kinatoka usingizini? Lakini wapo wanaosema, “Kinatafuta shuka wakati tayari kumekucha.”...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
By In2EastAfrica - Fri Jun 10, 4:45 pm The rising tide of gold prices has lifted the market value of Tanzanian Royalty Exploration (TRE) to ridiculous levels. The stock has gained over 350%...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, hivi karibuni kinara wa utabiri wa nyota nchini Sheikh Yahya Hussein alitoboa siri kuwa kuanguka jukwaani kwa Kikwete wakati wa uzinduzi wa KAmpeni za Urais ni kwa sababu ya kutumiwa Majini...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Katika pitapita yangu kwenye ukurasa wa Nape Nnauye kwenye Facebook nikutana na post hii hapa chini! Swali moja najiuliza je ni kweli Nape ni mtoto wa kuli?? Nape Nnauye ‎"WATANZANIA HAWA...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakati Watanzania wengi wanasubiri kwa hamu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 20111/2012, hali ya maisha inazidi kupanda. Hapa Dodoma wananchi wa kawaida wanaendelea kutafuta riziki zao, huku...
1 Reactions
489 Replies
47K Views
Mwenzenu nashangaa kuona kila mwaka bdhaa ambazo serikali inazipiga vita(sigara na pombe) kuwa ni hatari kwa afya zetu ikijidai inatujali! kumbe wizi mtupu,..lakini bidhaa hzo hzo zinategemewa kwa...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
What is the Job of TZ VP? Attending Meetings Unessearly? look at US Delegates they are just officials not even their Ambassador @ the UN... waste of our forex while we did not even have enough...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na mtangazaji wa Redio ya Umoja wa Mataifa (UN) Flora Nducha wakati mtangazaji huyo alipofika kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali yetu ina maamuzi ya ajabu sana!. Je ni kwanini wasingekuwa na 20%-25% share kwenye Gold badala yake wanawekeza kwenye ATC ambayo ina ndege moja ya kokodi, moja mbovu na wafanyakazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom