Sifa zifuatazo zinatosha kuonekana hufai katika jamii ya wana CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa zifuatazo zinatosha kuonekana hufai katika jamii ya wana CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gwallo, Jun 11, 2011.

 1. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  1. Kutoshabikia kabisa falsafa ya kuvua Gamba.
  2. Mshabiki mzuri wa siasa hasa wa sera za CHADEMA na viongozi wake.:kev:
  3. Msomaji wa Gazeti la MwanaHalisi, Raia mwema, Mwanachi,Nipashe na TZ daima.
  4. Maeneo ya kuishi Tarime, Arusha, Karatu,Hai, Kigoma, Dar,Mbeya n.k
  5. Kukata Budget iliyosomwa Bungeni na Mkulo.
  Je wewe una lipi lakuongeza katoka hayo hapo, wale waliotumwa karibu pia katika kuchangia>>>>>>
   
Loading...