Viongozi wetu wa kisiasa ni wanafiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wetu wa kisiasa ni wanafiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirini, Jun 10, 2011.

 1. fikirini

  fikirini Senior Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwenzenu nashangaa kuona kila mwaka bdhaa ambazo serikali inazipiga vita(sigara na pombe) kuwa ni hatari kwa afya zetu ikijidai inatujali! kumbe wizi mtupu,..lakini bidhaa hzo hzo zinategemewa kwa kupangiwa kodi kubwa,..kama sio unafiki ni nini? je, itakuwaje kama wavutaji na wanywaji watabadili tabia? tungetegemea kuona wenye vipato na mitaji mikubwa ya biashara ndo walipe kodi kwa usahihi lakini ndio wanaotesa(tax holiday), mzigo wa kodi umebaki kwa wafanyakazi na walala hoi wenye vibiashara vidogo vidogo. Ndugu zangu wana JF mnasemaje?
   
Loading...