Mtatiro asema kama noma na iwe noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtatiro asema kama noma na iwe noma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THE GAME, Jun 11, 2011.

 1. THE GAME

  THE GAME JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Jana atoa tamko kuusu maandamano asema kuwa wao wanadamana kwa nama yoyote kwakua polisi wametoa sababu mbazo azina msingi. kova asema '''tumekataa maadamano kwakuwa tuna ugeni wa kitaifa kwaiyo atutoweza kumudu mambo mawili kwa wakati moja'''
   
 2. THE GAME

  THE GAME JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  [h=2][​IMG] Mtatilo asema kama noma na iwe noma[/h]
  Jana atoa tamko kuusu maandamano asema kuwa wao wanadamana kwa nama yoyote kwakua polisi wametoa sababu mbazo azina msingi. kova asema '''tumekataa maadamano kwakuwa tuna ugeni wa kitaifa kwaiyo atutoweza kumudu mambo mawili kwa wakati moja''' ​
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mtatilo---mtatiro--mnaharibu majina ya watu
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka sababu kuu aliyoitoa ni kuwa wanachokilalamikia kimeshapelekwa mahakamani,hiyo kuandamana itakuwa kuingilia uhuru wa mahakama!!
   
Loading...