Serikali haina Investment kwenye Gold lakini inawekeza kwenye kampuni ya Ndege!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali haina Investment kwenye Gold lakini inawekeza kwenye kampuni ya Ndege!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Jun 10, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Serikali yetu ina maamuzi ya ajabu sana!. Je ni kwanini wasingekuwa na 20%-25% share kwenye Gold badala yake wanawekeza kwenye ATC ambayo ina ndege moja ya kokodi, moja mbovu na wafanyakazi wengi!!!. Je tunafikiria nini ndugu zangu bei ya Gold hatakama ikushuka itakuwa kidogo sana badala yake serikali inajiingiza kwenye biashara za ndege ambazo hazina faida kwa nchi. Pesa ya wananchi inatakiwa kuwekezwa vizuri na kwa kuangalia mbali badala ya kufanya uamuzi wa kufurahisha watu. ATC ni biashara ya kufurahisha macho ya Watanzania ili tu tuonekane tuna ndege badaya ya kuwekeza kwa manufaa ya baadaye.
   
Loading...