Mbatia kaandaa wachangiaji mjadala wa katiba

kilombero yetu

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,004
116
wote nccr wa cdm wengine wamebaniwa angalia sahv itv anataja majina ya wachangiajai badala ya watu kuonyesha mikono,jamaa ananiambia wapo nyuma "tumeandika ya kwetu watu 9 hakuna atamoja lililosemwa na watu wachache hv bora tu cdm wangeandaa'kweli cdm nawakubali kwakuandaa mijadala tatizo huwa wanaandaa hoja moja tu yakupinga kila kitu!!!
 
wewe una matatizo
 
Rafiki, Una hasira za bure.
Kwanza huu si mjadala wa Katiba..umekurupuka
Halafu na hic haupo ukumbini
Alichokifanya Mbatia ni kuomba washiriki wajiandikishe kwa ajili ya kuchangia..yaani a moment mtu anakunwa na kitu anamuita msaidizi then anapeleka jina lake.
Acha hasira wewe
 
wote nccr wa cdm wengine wamebaniwa angalia sahv itv anataja majina ya wachangiajai badala ya watu kuonyesha mikono,jamaa ananiambia wapo nyuma "tumeandika ya kwetu watu 9 hakuna atamoja lililosemwa na watu wachache hv bora tu cdm wangeandaa'kweli cdm nawakubali kwakuandaa mijadala tatizo huwa wanaandaa hoja moja tu yakupinga kila kitu!!!

Ndugu yangu embu fungua macho na uelewa wako..Mbatia amekuwa akiletewa majina ya wale wanaotaka kuchangia na kuyarekodi ili kuokoa muda..na sio watu kunyoosha nyoosha vidole na kusema mimi,mimi kwani inapoteza muda na huleta kelele....unaloliongea halipo na mimi ni CHADEMA
 
Kweli kwenye msafara wa mamba hata kenge nao wapo.
Kwani wanaongelea katiba pale? mkuu umekurupuka kama humpendi mbatia usilete majungu
 
Back
Top Bottom