Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Japo mimi ni kipenzi kikubwa cha hotuba za baba wa taifa hasa pale alipokuwa anajaribu kutumia lugha nyepesi nyepesi kuzima mambo makubwa yaliyokuwa yanatishia amani ya nchi kwa umakini mkubwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani, mi nimezaliwa nkakuta wabunge, madiwani na kwa hali ya juu mawaziri na rais wakiitwa waheshimiwa. Napenda nijue kuna hadhabu gani ya kisheria au kikanuni iwapo ntamwita kwa jina lake? Mi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mnyika amemjia juu Rais Kikwete na ikulu kuwa ndio chanzo cha mapungufu yote katika serikali. Akichangia bajeti ya hotuba ya ofisi ya rais amesema katiba imempa mamlaka makubwa na watumishi wote...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ijumaa iliyopita Waziri Mkuu Pinda katika hotuba ya majumlisho ya bajeti ya wizara yake alisema moja ya maamuzi magumu ya serikali ya awamu ya nne ni kuvunja baraza la mawaziri lililotokana na...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Hizi ndizo sifa zimfaazo mfuasi na mwanachama wa CCM 1. Kuwa mtumwa wa mawazo (akili ya kushikiwa) 2. Uwe unalamba miguu ya mafisadi 3. Ujifanye kama huoni matatizo ya watanzania (umeme, foleni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dah yule mbunge(CCM)ni mtu mzima kwelikweli... Kasema mshahara wake wa kwanza 1970's ulikuwa 1200, alinunua kitanda, radio na sofa kwa ajili ya kumkaribisha GF(girlfriend) wake!! Huyu ndie...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Salaam wana JF, Jamani mimi nimekuwa nikiangalia vikao mbalimbali vya Bunge Letu, kugundua Mapungufu Mengi yanayohusiana na mabo ya sheria na Jinsi ya kutafsiri sheria, tatizo ambalo limepelekea...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Kwa upande wake, Rais Kikwete alisema kuwa wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini wamemchagua Zitto kuwa mbunge wao, lakini pamoja na hilo Zitto hana serikali, bali Serikali ni ya Chama Cha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi aka chama cha magamba kimekwepa kulipa mabilioni ya kodi (withholding tax) tangu ilipovitwa viwanja vya michezo nchi zaidi ya miaka arobaini iliyopita.Chama cha Mapinduzi baada...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Na Kondo Tutindaga - Imechapwa 29 June 2011 TAKRIBANI majuma mawili sasa, Bunge la Jamhuri na baadhi ya vyombo vya habari nchini vimetawaliwa na mjadala wa posho za wabunge na watumishi wa...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Waheshimiwa wabunge wazalendo mliomo humu jamvini, Kutokana na miongozo mingi ya spika inayoombwa na wabunge vibaraka haswa wanaotoka chama cha magamba ya kutaka mbunge anayeongea athibitishe, na...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Jamani labda mimi ni mkereketwa sana au ni mdadisi sana Lakini kwa hili naomba Balaa la kufutiwa Post hii isinikute, Nataka kajibu ya Swali langu hapo juu, Sija wahi sikia Muheshimiwa Zotto...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Written by Stonetown (Kiongozi) // 05/07/2011 // Kitaifa, Vidio // 1 Comment Cinck Vidio hire Angalia Hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na safari nyingi zikimhusisha mkuu wetu wa nchi, waziri mkuu, mawaziri na viongozi wengine wa serikali na safari hizi tunaambiwa zina malengo ya kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mh. tunasubiri uongee kuhusu rushwa kwenye kamati unayoitumikia!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Regardless of what they did in power, the independence generation, meanining the Nyereres and Kawawas will always be remembered for taking back the country from colonial powers and bringing about...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
CCM imetangaza kuadhimisha kile wanachokiita 'MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA', Uhusiano wake na chama cha TANU. Binafsi naamini kama chama tawala, na kinachoongoza serikali, CCM haijawatendea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika taarifa ya habari ya TBC1 jana jioni, Mhe Zitto Kabwe alionekana jukwaani akiwahutubia wana-Kigoma na kuwaeleza kuwa chama chake hakina noma na JK. Aliifagilia CCM kwa jinsi inavyoleta...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
magdalena sakaya leo ameliambia bunge juu mkuu wa wilaya wanavyojichukulia mifugo ya wanainchi huko urambo-tabora, ameombwa amtaje kiongozi anayefanya hivyo au afute kauli yake lakini mbunge...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kada namba moja wa Ccm hakika Tbc 1 ni ccm nimeanza kugundua wasaliti wa maendeleo ya nchi yetu,huyu Gabriel Zakaria ameingia namba 1666 tunaendelea kulist.
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…