Miongozo ya Spika: Wabunge wazalendo mjiandae kwa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miongozo ya Spika: Wabunge wazalendo mjiandae kwa hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njaare, Jul 5, 2011.

 1. N

  Njaare JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Waheshimiwa wabunge wazalendo mliomo humu jamvini,

  Kutokana na miongozo mingi ya spika inayoombwa na wabunge vibaraka haswa wanaotoka chama cha magamba ya kutaka mbunge anayeongea athibitishe, na kwa kuwa kila spika anapopokea uthibitisho huwa hataki utolewe hadharani, na kwa kuwa kutokutolewa uthibitisho kunawafanya wananchi kutokujua ukweli, na kwakuwa spika anafficha uthibitisho kuwapa wanamagamba kupitia kitengo chao cha propaganda kuwahadaa wananchi, nashauri kila mbunge mzalende kwenda bungeni na vielelzo vyake.

  Hii inawezkana kama kila mbunge akiuandaa mchango wake au swali, akaupitia na pale anapoona panafaa akaandaa uthibitisho kwa kila fact na pale atakapoulizwa athibitishe akautoa na kuusoma hapohapo na spika kupewa nakala.
   
Loading...