Waziri Mkuu Pinda kalidanganya bunge tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Mkuu Pinda kalidanganya bunge tena

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Jul 3, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ijumaa iliyopita Waziri Mkuu Pinda katika hotuba ya majumlisho ya bajeti ya wizara yake alisema moja ya maamuzi magumu ya serikali ya awamu ya nne ni kuvunja baraza la mawaziri lililotokana na Edward Lowasa kujiuzuru. Huu ni udanganyifu mkubwa kabisa.

  Ukweli ndio huu serikali ya Kikwete ililazimika au kulazimishwa kuvunja baraza la mawaziri kutokana na Lowasa kujiuzuru uwaziri mkuu, ili waziri mkuu mpya ateuliwe na Baraza la mawaziri liundwe upya. Waziri mkuu ndiye mkuu wa shughuli za serikali kwa maana hiyo kiti kinapokuwa wazi baraza la mawaziri hulazimika kuvunjwa kupisha kuteuliwa waziri mkuu mpya na kuunda upya baraza la mawaziri.

  Na inavyoonekana Lowasa alijiuzuru kwa utashi wake, maana kuna walioboronga zaidi katika utawala huu wa kikwete na hata kumega chama cha ccm kuwa CCJ hajachukua hatua ye yote, sembuse hiyo?
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Najaribu kufikiria jinsi gani Waziri Mkuu aliyejipachika jina la mtoto wa mkulima, anapotoa kauli huwa amejiandaa au kila kinachomjia kichwani hukiropoka tu? Bongo lake halichambui mbivu na mbichi na hata hafikirii cause and effect?
   
 3. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sikupati mkuu. Unachosema ni kwamba baraza la mawaziri ilibidi livunjike kutokana na kujizulu kwa Lowassa na hayakuwa maamuzi magumu ya serikali ya awamu ya nne. Hapo hapo unahitimisha kwa kulalamikia walioboronga zaidi yaa Lowassa na mambo ya CCJ. Lipi tujadili?
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Serikali haikuvunja barala la mawaziri, ila baada ya Edward Lowasa kujiuzuru uwaziri mkuu rais alivunja baraza la mawaziri. Pindi kasema wongo kwamba kuvunjia kwa baraza la mawaziri kulisababisha na Lowasa kutoswa nje si kweli. Lowasa alipoonja joto ya jiwe bungeni alimua kwa ridhaa yake kujiuzuru, na kutokana na kujiuzuru huko kwa mkuu wa shughuli za serikali ambaye ndiye kiongozi wa baraza la Mawaziri serikali ililazimika kuvunja baraza la mawaziri.
   
 5. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sikuomba ufafanuzi kuhusu hilo. Nimeuliza kuhusu mambo ya CCJ uliyotaja katika para ya mwisho na hoja yako ya awli uko wapi?
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nimekupata vizuri, CCJ kumegeka ndani ya chama tawala kinachounda serikali ni uhaini kuliko kosa la Lowasa kuitia hasara serikali. Serikali ilitakiwa kuchukua maamuzi magumu kuwa funzo kwa wengine badala yake alimpa cheo cha UDC na wengine uwaziri.

  Hoja ya CCJ ni dondoo ya kuonyesha jinsi CCM na serikali yake imeshindwa kuchukua maamuzi mazito na wameamua kutambia hatua ya Lowasa kujiuru kwa ridhaa yake kwamba ni maamuzi magumu yaliyofanywa na serikali.
   
 7. T

  Technology JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  You are contradicting yourself msubiri MS akunyooshe
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kuasi chama au hata kutaka kukivunja sio uhaini .
   
 9. M

  MPG JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda ni mfata upepo wala si kiongozi makini kama KIKWETE.
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kuasi chama ndani ya chama chako ni uhani lakini kitaifa si uhaini. Kinachoendelea Shibuda kukiuka ideology ya chama ni sawa na kuasi ndani ya chama ni uhaini ndio maana anaweza adhibiwa kufukuzwa kwa kuwa ni kwenda kinyume cha maadili na miiko ya chama.

  Mtu au kikundi kinapoasi serikali na kutaka kuipindua ni uhaini, kwa maana hiyo ndani ya chama kuasi na kukimega inakuwa na tafsiri hiyo hiyo ya uhaini. Hivyo kuna tofauti ya uhaini ndani ya kikundi, chama, na inapofikiwa kiwango cha uhaini kiserikali hapo ndipo wengu tunapofikiria maana ya uhaini. Kwa mantiki hiyo waliokuwa ndani ya ccm na kuamua kuimega kuwa ccj wakiwa bado ndani ya ccm inatafsiriwa ni uhaini. Labda tafsiri ya neno hili uhaini halijaeleweka na hivyo tuanze uambishaji wa maaana ya maneno maana neno uhaini halijatoholewa toka lugha ya kigeni na hata lafudhi yake ni ya kibantu.
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Makinda +Pinda=Lao moja!
   
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  I’m not contradicting my self man, just double check or overlook you gona get my point.
   
 13. T

  Taso JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Kama unatuambia Rais alivunja baraza la mawaziri basi unakubaliana na Pinda.
   
 14. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Sikubaliani na Pinda kwa maana ya kwamba Lowasa hakufukuzwa uwaziri na mwajiri wake aliyemweka madarakani yaani Rais. Lowasa aliamua kujiuzuru kwa hiari yake baada ya msongo toka bungeni. Baada ya mkuu wa shughuli za serikali kujiuzuru na kiti cha Waziri Mkuu kuwa wazi serikali ililazimika kuvunja baraza la mawaziri na kuundwa upya baada ya kuteuliwa waziri mkuu mpya. Kwa mantini hiyo serikali haikuvunja baraza lamawaziri kwa kukusudia bali walilazimishwa kikatiba. Hii ni tofauti na tafsiri ya Pinda kwamba walifanya uamuzi mgumu kuvunja baraza la mawaziri ni uwongo.
  Jaribuni kusoma habari kifalsafa na kujua maudhui yake.
   
 15. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  kwa huyo jamaa, TZ haina waziri mkuu bali ina mtu aliyeshika nafasi ya uwaziri mkuu.hana cha utoto wa mkulima wala nini huyo
   
 16. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Point ni kwamba Raisi hakumfukuza LOWASA ila lowasa alijiudhuru uwaziri mkuu
  sasa basi kisheria inakuwaje baada ya waziri mkuu kujiudhulu madaraka yake

  hapo raisi hana ujanja baraza la mawaziri linakuwa limevunjika yeye anachofanya ni kutangaza tu kwamba limevunjika
  hakuna mashauriano wa maamuzi ya kushukua hapo ni katiba ndio inasema nini kifanyike.

  kama LOWASA alifukuzwa uwaziri mkuu ni kwa kosa lipi?
  Kila mtanzania anajua lowasa alijiudhulu kutoka na kamati ya kina mwakyembe waliposema apime akapima na kumwaga manyanga
  na jk akasema lowasa amaepata ajari ya kisiasa
  [video=youtube_share;fMeccNyS3CM]http://youtu.be/fMeccNyS3CM[/video]
   
 17. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wewe ndio unaona both sides of the coin
   
 18. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Unajua chizi siyo lazima avue nguo kwani huyu Pinda ni kweli kapinda kwa matamshi yake,
   
 19. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Hivi kati ya lowasa na pinda ni bora nani kwani naona huyu pinda anapenda mno posho,!!!!!
   
 20. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  Pinda ni Waziri Mkuu mtoa taarifa za uwongo kuliko waziri mkuu yeyote aliyepata kutokea nchi hii. Pinda huwa analishwa maneno na kuyatamka pasipo kujua ukweli. Nadhani ni waziri mkuu wa ovyo kabisa kupata kutokea.
   
Loading...