Ili uwe mfuasi mzuri wa CCM unatakiwa uwe na sifa zifuatazo

Msema hovyo

Senior Member
Jul 3, 2011
195
86
Hizi ndizo sifa zimfaazo mfuasi na mwanachama wa CCM
1. Kuwa mtumwa wa mawazo (akili ya kushikiwa)
2. Uwe unalamba miguu ya mafisadi
3. Ujifanye kama huoni matatizo ya watanzania (umeme, foleni, huduma mbovu za afya, elimu bora kwa matajiri pekee, inflations, maji dumu sh 1000, mafuta bei juu, gasi bei juu, nauli bei juu huku kipato kikiendelea kushuka, na thamani ya hela ikiendelea kushuka)
4. Uwe mnafiki, ujifunze na uzoee kuwasifia wakubwa wako hata wanapokosea (eti akikukanyaga, mwambia mzee mguu wako upo juu ya kiatu changu)
5. Uwe zezeta, usiyeona wala kujali hali halisi ya nchi
6. uwe mwongo (nitajenga fly over, nitaanzisha dart, nitanunua meli kubwa kama MV bukoba, nitaifanya kigoma kuwa dubai, nitaifanya tanga kuwa mji wa viwanda, tatizo la umeme litakuwa historia nk nk.)
7. Uwe na tamaa ya utajiri na kujilimbikizia mali
8. Uwe tayari kuua watu maskini kwa ajili ya kujipatia mali na kujineemesha wewe binafsi.
na mengine mengi.
 
Duu hizi sifa si nzuri bora hata zile alizotoa malaria sugu za CHADEMA, ila hizi za CCM kiasi fulani zina manufaa kwangu kama
nikiwa ndani ya
CCM sasa sijui ni bora niwe mfuasi wa yupi?/
 
nyie ndo mnashikiwa akili na ukoo wa mtei,mpaka muwalambe miguu ndo angalau mpate nafas,wanafki wenye sura mbili kmnyangumi,wanataka utajiri haraka mpaka wanagombea ruzuku,wachochez wa kuvuruga aman
 
Naona unathibitisha kwa vitendo!
 
nyie ndo mnashikiwa akili na ukoo wa mtei,mpaka muwalambe miguu ndo angalau mpate nafas,wanafki wenye sura mbili kmnyangumi,wanataka utajiri haraka mpaka wanagombea ruzuku,wachochez wa kuvuruga aman
Kama wafuasi wa CCM wanavyoshikiwa akili na Salma Kikwete na ridhiwani. Urais ni mali ya familia, ndiyo maana CCM haina ubavu wa kumuuliza wala kumshauri Kikwete.
 
nyie ndo mnashikiwa akili na ukoo wa mtei,mpaka muwalambe miguu ndo angalau mpate nafas,wanafki wenye sura mbili kmnyangumi,wanataka utajiri haraka mpaka wanagombea ruzuku,wachochez wa kuvuruga aman
HEE mbona umepandwa hasira sana au na wewe ni miongoni mwao!!?mmmh naona umeguswa sana
 
Hizi ndizo sifa zimfaazo mfuasi na mwanachama wa CCM
1. Kuwa mtumwa wa mawazo (akili ya kushikiwa)
2. Uwe unalamba miguu ya mafisadi
3. Ujifanye kama huoni matatizo ya watanzania (umeme, foleni, huduma mbovu za afya, elimu bora kwa matajiri pekee, inflations, maji dumu sh 1000, mafuta bei juu, gasi bei juu, nauli bei juu huku kipato kikiendelea kushuka, na thamani ya hela ikiendelea kushuka)
4. Uwe mnafiki, ujifunze na uzoee kuwasifia wakubwa wako hata wanapokosea (eti akikukanyaga, mwambia mzee mguu wako upo juu ya kiatu changu)
5. Uwe zezeta, usiyeona wala kujali hali halisi ya nchi
6. uwe mwongo (nitajenga fly over, nitaanzisha dart, nitanunua meli kubwa kama MV bukoba, nitaifanya kigoma kuwa dubai, nitaifanya tanga kuwa mji wa viwanda, tatizo la umeme litakuwa historia nk nk.)
7. Uwe na tamaa ya utajiri na kujilimbikizia mali
8. Uwe tayari kuua watu maskini kwa ajili ya kujipatia mali na kujineemesha wewe binafsi.
na mengine mengi.

Umejuaje yote haya, hebu tuthibitishie?
 
nyie ndo mnashikiwa akili na ukoo wa mtei,mpaka muwalambe miguu ndo angalau mpate nafas,wanafki wenye sura mbili kmnyangumi,wanataka utajiri haraka mpaka wanagombea ruzuku,wachochez wa kuvuruga aman
Ukweli unauma ee, na wewe ni mlamba miguu ya m.k,w''e...re ndio maana umelipuka hivyo, jitambue dada, hayo mnayojilimbikia yatabaki hapa hapa duniani, mtaaharishiwa vifo tu kwa kwenda kutibiwa India, mwisho wa siku mtakufa kama wale wanyonge mnaowanyonya, na mtahukumiwa kwa matendo yenu hapa duniani.
 
Back
Top Bottom