CHADEMA haina noma na JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA haina noma na JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kishongo, Jul 5, 2011.

 1. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika taarifa ya habari ya TBC1 jana jioni, Mhe Zitto Kabwe alionekana jukwaani akiwahutubia wana-Kigoma na kuwaeleza kuwa chama chake hakina noma na JK. Aliifagilia CCM kwa jinsi inavyoleta maendeleo nchini bila kubagua maeneo kwa sababu za itikadi.

  Mhe Zitto anastahili kupongezwa kwa kuwa mkweli. Yafaa wanachama wa cdm ktk JF wajifunze kutoka kwake, si kukandia kila kitu ... eti kwa kuwa kimeletwa na Serikali ya CCM.

  CDM kuna kiongozi mmoja tu wa kweli, ni Zitto Kabwe. Wengine wote ni wasanii.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  pumba zako tulishazichoka ..........!

  go to hell
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  hii ni mojawapo ya ID za malaria sugu?
   
 4. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tangulia wewe hell.
  If you can't contribute, shut up.
   
 5. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha kukimbia kivuli chako.
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Exactly mkuu!
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mkuu kidogo hapo kwenye bold niongezee neno ...vu.
   
 8. Ocheke

  Ocheke JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 274
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ok analeta maendeleo bt in ratio ya development and underdevelopment kwa miaka 6 ana base wapi ni dev or under ndio point muhimu
   
 9. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  JK na Zitto Kabwe.jpg
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
 11. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  and this is mine...
   

  Attached Files:

 12. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Ushuz uliopost unanuka mpaka kichefuchefu! Hv kesho anakwenda kutalii wapi au hata wewe hujui?
  Tap tap tap tap tap!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Labda harufu unayo mwenyewe ila hujui.
  Jichunguze utagundua chanzo cha ushuzi unaokusumbua.
   
 14. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  huu upepo wa nn huku ,
   
Loading...