Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Joseph Magata Tuliipuuza kauli ya Pius Msekwa anayeonya hivi: (“Spika anayeonyesha kupendelea upande mmoja au kundi moja dhidi ya jingine, basi hatadumu sana katika nafasi hiyo.”)...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
By Lydia Shekighenda 3rd August 2011 Minister for Transport Omari Nundu yesterday told the House that Air Tanzania Company Limited (ATCL)s poor performance was not caused by the governments...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Rais Kikwete amewatahadharisha makada wa CCM kuachana na hatua za namna yoyote za kumpuuza au kumshambulia Rostam katika majukwaa ya siasa. Mbali ya hilo, ili kuhakikisha jimbo hilo linaendelea...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Maamuzi yaliyofanywa na kamati kuu ya CCM katika kikao chake cha tarehe 31 Agosti 2011 kuhusu masuala mbalimbali yanayolikabili taifa hususani kuhusu nishati na madini imethibitisha ulegelege na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapenzi wa CUF, acheni kudanganya watu kwani mwaka jana Chadema hawakuweka mgombea Ubunge katika Wilaya ya Igunga. Waliogombea Ubunge Igunga walikuwa wawili tu - ROSTAM AZIZI ABDULRASOOL...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
• ATAKA MAAMUZI DHIDI YA LOWASSA, CHENGE na Salehe Mohamed, Dodoma MWANASIASA mkongwe, Samuel John Malecela, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchukua maamuzi thabiti ya kumalizana na dhana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sasa hivi katika majumuisho ya bajeti ya wizara ya ujenzi Mh. Aden Rage ameuliza, "Jana nilisikia TBC kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku kuwa makandarasi wa barabara mkoani Tabora...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema tarehe rasmi ya kufanyika uchaguzi mdogo wa marudio katika Jimbo la Igunga, mkoani Tabora, itatangazwa kesho.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna habari mbili hapa: 1- Hii ya kupanda thamani kwa Shillingi dhidi ya Dola kutokana na benki kuu kuuza dola. Hiyo yawezekana kuwa kweli 2- Lakini habari nitakayo tuijadili ni hii ya pili...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Katika gazeti la mwanahalisi la leo tarehe 3/8/2011 page ya 15 kuna waraka wa wiki ulio andikwa na nyaronyo kicheere kama ifuatavyo:- "Kwa upande wa simbachawene,ambaye mara nyingi huendesha bunge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuesday, 02 August 2011 20:23 ASEMA WATUMIA UWEZO WAO KUMKWAMISHA, ATAMANI KUACHIA NGAZI Waandishi Wetu WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewashukia baadhi ya vigogo jiji la Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
My top 5 mistakes that made Tanzania one of the Poorest Countries in the world… Colonial Hangover: This has led us to believe that we can’t do anything without the West; regardless of the...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Inawazekana vipi chama kutua maamuzi ambayo yanareflect moja kwa moja shughuli za serikali? je kuna umbwe wa uongozi mpaka kupelekea chama kutoa maamuzi badala ya serikali, mfano mzuri swala la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Balozi wa Zambia Tanzania amesema yule mtu aliyekutwa amefariki kwenye chumba cha hoteli ya Southern Sun baada ya kuhudhuria sherehe ya harusi ni Mzambia. Katika tukio hilo watu wengine wawili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wananchi na wakazi wa igunga wamenunua kadi za cuf kwa wingi toka ujumbe ulipoondoka mkoani Dar es salaam kwenda jimboni humo kwa shughuli za kichama huku wakizunguka katika kata zote na vijiji...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
"Sitakufa kabla ya CCM kufa"Alisema babu mmoja kwenye mdahalo wa katiba mpya uliokuwa unarushwa live na ITV.
2 Reactions
96 Replies
10K Views
Tatizo la ukame na njaa ambayo ni matokea ya ukosefu wa mvua za kutosha katika baadhi ya maeneo hapa Tanzania, linatokana na athari za hali ya klimatolojia (Climate effects) hasa kupoa kwa maji ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kule kwetu Usangu ng’ombe dume na mwenye pembe huitwa kambako. Na kila zizi lina kambako zake. Wengine wanasema ‘ Makambako’. Na si unajua? Kuna mji unaitwa Makambako mpakani mwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahani wakuu, nimejaribu kuperuzi humu jamvini bila mafanikio nikitafuta kama kuna ripoti yoyote iliyotolewa na Wizara ya Afya kufuatia uchunguzi uliofanywa na Tume ya mionzi kule Arusha kuhusu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Imeandikwa na Dativa Minja; Tarehe: 2nd August 2011 WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami, amesema mgawo wa umeme umesababisha shughuli zake za ujasiriamali kudorora. “Mimi nimekwama...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…