Ripoti ya Tume ya mionzi bado? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ripoti ya Tume ya mionzi bado?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Komeo, Aug 1, 2011.

 1. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,393
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Samahani wakuu, nimejaribu kuperuzi humu jamvini bila mafanikio nikitafuta kama kuna ripoti yoyote iliyotolewa na Wizara ya Afya kufuatia uchunguzi uliofanywa na Tume ya mionzi kule Arusha kuhusu samaki wanaodhaniwa/wanaosemekana kuwa na mionzi ya sumu. Kwa mara ya mwisho niliskia kuwa Tume hiyo ilishakamilisha kazi yake na kuiwasilisha Wizarani, ambako ndiko kuna wasemaji wa suala hilo. Pengine kuna vyombo vya habari vilishatoa ripoti hiyo ya Wizara, ila tu mimi sikuskia kwakuwa niko eneo lisilo na guarantee sana ya uwepo wa umeme. Naomba kama taarifa hiyo ipo, mtujuze nasi ilitolewa lini au mtuwekee link tuifuate huko huko iliko.
   
 2. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani huijui Tanzania ni nchi ya Wachakachuaji sasa hapo unategemea nini?
   
 3. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,393
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Kama ni kweli, sasa huu uchakachuaji unatumaliza, yaani tunachakachua hadi afya zetu wenyewe!
   
 4. mikonomiwili

  mikonomiwili JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hiyo ndo ishapotezewa kama ule ushaidi wa pinda bungeni . Hutakaa usikie kinachoendelea tena . ndo ujue serikali yetu ni ya kisanii
   
 5. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa kuzingatia kasi iliyotumika katika kuingiza samaki hao hapa nchini, na kwa kutia maanani umakini ulioonyeshwa hapo mwanzoni na vyombo husika katika kutafuta ukweli juu ya sakata hilo;umakini ambao hivi sasa unaonekana kuwa umeyeyuka, hapana budi kujengeka hisia ya kuwa hili sakata la samaki wa mionzi linagusa wenye nchi, katika hali hiyo haitashangaza hata kidogo ikiwa suala hilo litaendelea kuchezewa danadana kama sumu inayotoka migodini na kutumbukia mitoni
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Wala usitegemee kupewa matokeo halisi mkuu, hii ni bongo kama kawa kelele nyingi vitendo kiduchu. Jamaa wenyewe wanaogopa dunia nzima hasara ya kudhihakiwa!
   
 7. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kati ya tume ya mionzi na sakata la jairo aliyepewa siku 10 kipi kilianza?hii ndio tanzania maneno mengi vitendo zero.
   
 8. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Nchi ya wajinga, kila kitu ni yes. Kweli Tanzania watu wake ni wa ajabu sana. Nadhani hata JK awkojolee mdomoni wataongea tuu, kesho yake wanatulia.
   
 9. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,393
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Hii sasa kali. Nafikiri hata samaki wenyewe tutakuwa tumeshauziwa chap chap na wameisha. Tusubiri maumivu na madhara tu.
   
 10. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nilitaka kukushurutisha uwaombe radhi Watanzania, lakini nimeamua kuacha baada ya kugundua kuwa na wewe uko tayari kukojolewa bila kulalamika!

  Hatari sana hii!
   
 11. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nlikuwa mbagala jpili 31/7 kuna lori lilishusha viroba vya samaki kama 200 hivi nikajua watakua hao samaki lakini cha kushangaza watu walianza kuvamia na kununua kama wendawazimu hadi naondoka vilibaki kama viroba 50 tu ambavyo viliingizwa kwenye frem moja karibu na shel ya big bong
  Tz noma
   
 12. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,393
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Nimeskia magazeti ya leo kuwa Ubalozi wa Japan wa hapa Tz wametoa taarifa kuthibitisha kuwa samaki hao hawana madhara.
  My take: Usiposema utasemewa!
   
Loading...