Hii pekee yaonesha Tanzania ni nchi ya kidikteta

Sijali

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
2,586
1,678
Kuna habari mbili hapa:
1- Hii ya kupanda thamani kwa Shillingi dhidi ya Dola kutokana na benki kuu kuuza dola. Hiyo yawezekana kuwa kweli

2- Lakini habari nitakayo tuijadili ni hii ya pili:
Mara kwa mara, linapotokea tukio Tanzania likataka mhusika aliye karibu serikalini alizungumzie, basi mara nyingi mhusika huyo hutaka jina lake lisitajwe. Hilo hivi sasa limefikia kiwango cha kutia kinyaa, kwani hata jambo lisiwe na madhara yoyote kwa usalama wa nchi au wa mwenye kusema, still, hatataka jina lake litajwe!

Sijapata kuona jambo hili kwa jirani zetu wa Kenya,Uganda, Drc, Rwanda, Zambia, Malawi, Burundi au Msumbiji.

Angalia: eti kuthibitisha kama kweli shilingi imepanda......pia mtu asema, 'usinitaje'! Kha! Uozo huu umeendelea hata utakuta mtu anayefanya hivyo ndiye afisa uhusiano au msemaji rasmi wa kitengo hicho .......bado anataka asitajwe!

Bila shaka hili linatokana na woga. Vinginevyo ni ujinga wa kawaida wa Wabongo wa kuona kuwa usinitaje¨'ndiyo staili' ya kusema!
Ila mimi naona ni kwa sababu za woga, ambayo inamaanisha udikteta wa Tanzania ni wa aina pevu kabisa. Hata Riadh, Pyongyang, Malabo....
hawafanyi hivyo!

Hebu cheki basi:

Tanzania's shilling headed for the strongest close in a week against the dollar after the central bank of East Africa's second biggest economy's sold the U.S. currency to curb the shilling's decline to a 17-year low.

The shilling appreciated as much as 0.3 percent to 1,586.35 per dollar and traded 0.2 percent stronger at 1,588.5 by 12:10 p.m. in Dar es Salaam, the commercial capital. A close at this level would be the highest since July 27.

The central bank declined to provide more detail on currency sales, an official who didn't want to be named said by phone today
.
 
Back
Top Bottom